☞@HabariTz
▶ Inasemekana ushindi wa Yanga ni kama kipofu kuona Mwanga. Tazama mashabiki wa Yanga wakitamba baada ya ushindi wa...
https://www.instagram.com/p/CFrgKJRgDvL/

Instagram
Star TV Tanzania
Inasemekana ushindi wa Yanga ni kama kipofu kuona Mwanga. Tazama mashabiki wa Yanga wakitamba baada ya ushindi wa bao moja dhidi ya Mtibwa Sugar. #StarTvUpdates
☞@HabariTz
▶ Akieleza sababu ya kichapo Cha jana dhidi ya Yanga amesema "Goli la Yanga lilikuwa la kiufundi".
https://www.instagram.com/p/CFrhSJLAMnq/

Star TV Tanzania on Instagram: “Akieleza sababu ya kichapo Cha jana dhidi ya Yanga amesema "Goli la Yanga lilikuwa la kiufundi".”
12 Likes, 0 Comments - Star TV Tanzania (@habaristartv) on Instagram: “Akieleza sababu ya kichapo Cha jana dhidi ya Yanga amesema "Goli la Yanga lilikuwa la kiufundi".”
👉 @HabariTz
Wachezaji wa timu ya Taifa ya Wanawake ya U20 “Tanzanite” wakiendelea na mazoezi leo asubuhi Uwanja wa Mkapa, Dar es Salaam. Timu hiyo imeingia kambini kujiandaa kwa mchezo wa mchujo wa Kombe la Dunia dhidi ya Senegal. @cafwomenfootball @caf_online @fifaworldcup azamtvtz @bonwambura70 @wallacekaria @wilfredkidao

NEBRON IN SPORTS
Wachezaji wa timu ya Taifa ya Wanawake ya U20 “Tanzanite” wakiendelea na mazoezi leo asubuhi Uwanja wa Mkapa, Dar es Salaam. Timu hiyo imeingia kambini kujiandaa kwa mchezo wa mchujo wa Kombe la Dunia dhidi ya Senegal. @cafwomenfootball @caf_online @fifaworldcup…
👉 @HabariTz
Njoo tujadiliane hapa..
.
Kwa mechi hiz 4 za mwanzo unadhani msimu huu tutarajie nini hasa kwenye mbio za ubingwa??..@dominicksalamba #nebroninsports
Njoo tujadiliane hapa..
.
Kwa mechi hiz 4 za mwanzo unadhani msimu huu tutarajie nini hasa kwenye mbio za ubingwa??..@dominicksalamba #nebroninsports
Instagram
NEBRON IN SPORTS
Njoo tujadiliane hapa.. . Kwa mechi hiz 4 za mwanzo unadhani msimu huu tutarajie nini hasa kwenye mbio za ubingwa??..@dominicksalamba #nebroninsports
☞@HabariTz
▶ Rais wa Marekani Donald Trump anadaiwa kutolipa kodi kwa miaka kadhaa kabla ya kuwa rais, kulingana na ripoti ya New...
https://www.instagram.com/p/CFro2KRCZZL/

DW Kiswahili on Instagram: “Rais wa Marekani Donald Trump anadaiwa kutolipa kodi kwa miaka kadhaa kabla ya kuwa rais, kulingana…
68 Likes, 3 Comments - DW Kiswahili (@dw_kiswahili) on Instagram: “Rais wa Marekani Donald Trump anadaiwa kutolipa kodi kwa miaka kadhaa kabla ya kuwa rais, kulingana…”
☞@HabariTz
Waziri Afrika Kusini kupoteza mshahara, kutumia ndege vibaya
https://www.dw.com/sw/waziri-afrika-kusini-kupoteza-mshahara-kutumia-ndege-vibaya/a-55078340?maca=kis-rss-kis-all-1488-rdf

Deutsche Welle

Waziri wa ulinzi wa Afrika Kusini amekosolewa vikali na atapoteza mshahara wake kwa miezi mitatu baada ya maafisa wa chama tawala nchini humo kusafiri kwa ndege ya jeshi la wanaanga kwenda Zimbabwe mwezi huu.
☞@HabariTz
Jeshi la Somalia lawauwa al-Shabba 16, kuwakomboa watoto 40
https://www.dw.com/sw/jeshi-la-somalia-lawauwa-al-shabba-16-kuwakomboa-watoto-40/a-55078335?maca=kis-rss-kis-all-1488-rdf

Jeshi la Somalia limewauwa wanamgambo 16 wa kundi la itikadi kali la Al Shabaab katika mkowa wa Lower Shabelle katika juhudi za kuwakombowa watoto kadhaa waliokuwa wakishikiliwa na kundi hilo.
☞@HabariTz
Tume ya uchaguzi Tanzania yamuita Tundu Lissu
https://www.dw.com/sw/tume-ya-uchaguzi-tanzania-yamuita-tundu-lissu/a-55076520?maca=kis-rss-kis-all-1488-rdf

Tume ya Uchaguzi Tanzania imemtaka mgombea wa chama cha upinzani Chadema, Tundu Lissu kujitokeza katika kamati ya maadili ya tume hiyo kujibu baadhi ya hoja alizoziibua kwenye kampeni.
☞@HabariTz
Jaji Barrett ndio chaguo la Trump nafasi ya Mahakama Kuu
https://www.dw.com/sw/jaji-barrett-ndio-chaguo-la-trump-nafasi-ya-mahakama-kuu/a-55067457?maca=kis-rss-kis-all-1488-rdf

Rais wa Marekani Donald Trump amemteua Jaji Mhafidhina wa jimbo la Indiana Amy Coney Barrett kuchukua nafasi ya Ruth Bader Ginsburg katika mahakama kuu, akitarajiwa kuidhinishwa na Seneti.
☞@HabariTz
Mapambano yazuka kati ya majeshi ya Armenia na Azerbaijan
https://www.dw.com/sw/mapambano-yazuka-kati-ya-majeshi-ya-armenia-na-azerbaijan/a-55070657?maca=kis-rss-kis-all-1488-rdf

Mapigano yalizuka kati ya Armenia na Azerbaijan leo katika eneo tete la Nagorno-Karabakh, na kufufua wasi wasi wa kutokuwa na uthabiti katika eneo la kusini mwa Ulaya la Caucasus.
☞@HabariTz
Trump hajalipa kodi ya mapato kwa miaka mingi
https://www.dw.com/sw/trump-hajalipa-kodi-ya-mapato-kwa-miaka-mingi/a-55077745?maca=kis-rss-kis-all-1488-rdf

Gazeti la New York Times limeripua bomu na kufichua kwamba rais Donald Trump alilipa kiasi cha dola 750 tu za kodi ya mapato wakati wanasiasa hao wakijitayarisha kuingia katika mdahalo Jumanne .
☞@HabariTz
Mapigano yamezuka kati ya Armenia na Azerbaijan
https://www.dw.com/sw/mapigano-yamezuka-kati-ya-armenia-na-azerbaijan/a-55077982?maca=kis-rss-kis-all-1488-rdf

Majeshi ya Armenia na Azerbaijan yameingia katika siku ya pili ya mapigano makali ya kutumia nguvu za kijeshi, huku kukiwa na ripoti ya vifo na idadi kubwa ya waliojeruhiwa.
👉 @HabariTz
@laminebenomar ndiye Mchezaji Bora kwenye mchezo dhidi ya Mtibwa Sugar, amechaguliwa na Mashabiki kupitia ukurasa wa Yanga Sc wa Twitter "yanga1935" ameshinda kwa wastani wa kura 66%
#VPL
#nebroninsports
@laminebenomar ndiye Mchezaji Bora kwenye mchezo dhidi ya Mtibwa Sugar, amechaguliwa na Mashabiki kupitia ukurasa wa Yanga Sc wa Twitter "yanga1935" ameshinda kwa wastani wa kura 66%
#VPL
#nebroninsports
Instagram
NEBRON IN SPORTS
@laminebenomar ndiye Mchezaji Bora kwenye mchezo dhidi ya Mtibwa Sugar, amechaguliwa na Mashabiki kupitia ukurasa wa Yanga Sc wa Twitter "yanga1935" ameshinda kwa wastani wa kura 66% #VPL #nebroninsports
Swahili News
Photo
Voice of America
Trump amteua Amy Coney Barrett kuwa jaji wa mahakama ya juu
Rais wa Marekani Donald Trump Jumamosi alimteua Amy Coney Barrett kuchukua nafasi ya jaji wa Mahakama ya Juu ilioachwa wazi kutokana na kifo cha Jaji mliberali Ruth Bader Ginsburg.

Pande hasimu Yemen zakubali kubadilishana idadi kubwa ya wafungwa
Pande hasimu zinazopigana vita nchini Yemen zimekubali kubadilishana wafungwa kiasi cha 1,000, wakiwemo raia 15 wa Saudi Arabia, Shirika la Habari la Uingereza Reuters limeripoti.