Swahili News
3.77K subscribers
110K photos
59.3K videos
28 files
268K links
🐾
Download Telegram
Wabunge wakisoma kitabu cha hotuba ya Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Philip Mpango kuhusu hali ya uchumi wa taifa kwa mwaka wa fedha 2018 na mpango wa maendeleo wa taifa wa mwaka wa fedha 2019/2020, jijini Dodoma leo. Picha na Edwin Mjwahuzi #mwanachiupdates http://bit.ly/2Kf2Hxf
Baraza la Taifa la Usimamizi wa Mazingira (Nemc), limeongeza wigo wa makali ya katazo la matumizi ya mifuko ya plastiki kwa kupiga marufuku vifungashio vya kienyeji vinavyotumika kufungashia karanga, ice-cream, miwa na ubuyu na kwamba atakayekutwa navyo atalipa faini kati ya Sh30,000 na Sh200,000. #mwanachiupdates http://bit.ly/2MLNgyy
ZIARA YA RAIS FELIX TSHISEKEDI WA JAMHURI YA KIDEMOKRASIA YA CONGO NCHINI TANZANIA https://youtu.be/pjwPysKpPpM
LIVE: WAZIRI MPANGO AKIWASILISHA BAJETI YA SERIKALI 2019/2020 BUNGENI - DODOMA https://youtu.be/7XhadsSRuCM
MediaBaada ya penzi kati ya mwimbaji Cassie na P Diddy kuvunjika rasmi October 17, 2018 sasa mwanadada huyo amekuja na good news kwa mashabiki zake na kutangaza kuwa ni mjamzito na anategemea kupata mtoto hivi karibuni na mpenzi wake mpya Alex Fine ambaye ni mjasiriamali. Cassie alitoa taarifa hizo za ujauzito kupitia ukurasa wake wa instagram na […]

via Millardayo.com - millard ayo http://bit.ly/2Zkox5W
RAIS MAGUFULI
MediaKwenye uwanja wa nyimbo za Gospel Mwimbaji Jeniffer Mgendi ameileta nyingine ya kutazama na kusikiliza akisema ‘Sema Kweli’, bonyeza PLAY hapa chini kutazama alafu kisha andika comment yako kuhusu wimbo huo. VIDEO: BEN POL KAFUNGUKA SAFARI ZAKE ZA NJE, MJENGO, MAGARI YA KIFAHARI YA KWENYE VIDEO NI YA MPENZI WAKE.?

via Millardayo.com - millard ayo http://bit.ly/2WD8bIG
/remove@FeedManBot