Swahili News
3.77K subscribers
109K photos
58.8K videos
28 files
267K links
🐾
Download Telegram
Maulid Kitenge

MWONEKANO MPYA NGORONGORO

•Uoto wa asili, ikolojia vyaanza kurudi kwa kasi katika maeneo yaliyohamwa na wakazi
•Matumaini yazidi kuwa makubwa,

•Wadau watoa Ushauri

Baada ya baadhi ya wakazi wa maeneo ya Ngorongoro kuhamia Msomera Mkoani Tanga, Ikolojia na uoto wa asili… https://t.co/gxOGHlijuR
Maulid Kitenge

TAMBO ZA WABUNGE KUELEKEA DERBY LEO.

Kuelekea kwenye mchezo mkali wa Derby ya Kariakoo Simba na Yanga, Mbunge wa Hai Saasisha Mafue ambaye ni Shabiki wa Simba akitamba kuwafunga Yanga.

#KitengeSports https://t.co/TvX3tD0i6W
Maulid Kitenge

Waziri wa Fedha na mipango wa Uganda Amos Lugoloobi, amekamatwa kuhusiana na kashfa ya kuibiwa kwa mabati yaliyotakiwa kutolewa kama msaada kwa wananchi katika mkoa wa Karamoja.

Lugoloobi anakuwa Waziri wa pili kukamatwa kuhusiana na kashfa hiyo baada ya Waziri wa Masuala ya… https://t.co/tUCIXgzzfI
Maulid Kitenge

RATIBA: #NBCPL || DERBY YA KARIAKOO

SIMBA SC 🆚 YOUNG AFRICANS SC
🏟 Benjamin Mkapa
11:00 JIONI

Ligi kuu ya soka ya NBC Tanzania bara inaendelea tena leo Aprili16, 2023 kwa mtanange wa kukata na shoka wa WATANI WA JADI, Simba SC dhidi ya Yanga SC. Ni Vita ya Wababe wawili wa… https://t.co/OCJ18foXQ3
Maulid Kitenge

Wakati hawa wanakuona shetani, wale wanakuona Malaika. Maisha ndivyo yalivyo. Hauwezi kuwazuia watu wasikuone vile watakavyo, maana mawazo ya mtu ni mali yake binafsi.
Maulid Kitenge

TAARIFA: Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj @DrHmwinyi ameagiza malipo ya mishahara ya mwezi wa Aprili kufanyika mapema kuanzia tarehe 14 Aprili 2023 kwa wafanyakazi wa Serikali kwa ajili ya matayarisho ya Sikukuu ya Eid El Fitr.

Kwa mujibu wa tamko la… https://t.co/nWiM8gLdrX
Jamii Forums

Ripoti ya #CAG imeeleza Jengo la Golden Jubilee lilitumia kiasi cha Tsh. Milioni 226.97 kama gharama za uendeshaji huku makusanyo ya ada ya Huduma yakiwa Tsh. Milioni 196.73

Jengo la Twin Tower la Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma lilitumia Tsh. Milioni 245.65 kama… https://t.co/KyE3PoF1LL
Jamii Forums

PWANI: BAADA YA MVUA KUHARIBU BARABARA YA CHALINZE – SEGERA, UJENZI WAFANYIKA HADI USIKU

Sehemu iliyoharibika ni Kimange Mkoani #Pwani, hivyo kusababisha ifungwe kwa muda, baadaye ilifunguliwa na kutumika njia moja

Mtendaji Mkuu wa #TANROADS, Mhandisi Rogatus Mativila amesema… https://t.co/9mKOB9lHFL
Jamii Forums

Mapitio ya Mfumo wa Usimamizi wa Majengo ya Serikali (GRMS) katika Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) yalibaini Mikataba 1,302 ya kukodisha Nyumba iliyopakiwa kwenye Mfumo huo ilikuwa na hitilafu katika Malipo yaliyofanywa

Malipo ya Mikataba 789 yalikuwa na viwango pungufu kuliko… https://t.co/Peo1eKobaZ
Jamii Forums

Ukaguzi wa hali ya Vifaa katika Hospitali ya Mloganzila ulibaini matengenezo ya Vifaa Tiba hufanywa baada ya tatizo kutokea badala ya muda uliopangwa ili kutosimama kwa Huduma

CAG, alibaini Vifaa 60 vya Matibabu katika Taasisi ya Mifupa ya MOI vilivyopangwa kufanyiwa… https://t.co/grQY8e69NW
Jamii Forums

Utachukua hatua gani ikiwa Mtoto wako atakataa Shule?

#Malezi #Maisha #ChildRights #JFHakiElimu https://t.co/IpzBEeDXAA