Swahili News
3.75K subscribers
111K photos
60K videos
28 files
269K links
🐾
Download Telegram
millardayo

CAG, Charles Kichere, ameongea na Waandishi wa Habari kuhusu ripoti ya ukaguzi wa hesabu 20021/ 2022 Dodoma leo ambapo amesema Ofisi yake imebaini uwepo wa Wafungwa 3110 (Wahamiaji wasio na vibali) ambao wamemaliza vifungo vyao lakini bado wapo gerezani.
#MillardAyoUPDATES
Jamii Forums

Ni kazi gani inadharaulika lakini Wanaoifanya wanaingiza Fedha nyingi

#JamiiForums #JFMaisha
Jamii Forums

ZIMBAMBWE KUJA NA SHERIA YA KUHARAMISHA WAHUDUMU WA AFYA KUAJIRIWA NJE YA NCHI

Vyombo vya Habari vya Ndani vinasema zaidi ya Wauguzi na Madaktari 4,000 wameondoka Nchini humo tangu Februari, 2021 huku Nchi hiyo yenye Watu takriban Milioni 15 ikibakiwa na Madaktari takriban 3,500… https://twitter.com/i/web/status/1643910839513100289
Jamii Forums

CAG Charles Kichere: Nilibaini kuwepo kwa Dawa zilizoisha muda wake katika Bohari Kuu ya Dawa kabla ya kusambazwa zenye thamani ya Shilingi Milioni 235.84

Udhaifu huu unatokana na udhibiti duni wa mfumo katika kuthibitisha muda wa kuharibika kwa Dawa au Vifaa tiba… https://twitter.com/i/web/status/1643915488588644353
Jamii Forums

CAG Kichere: Ndege ya ATCL, Boeing 787-8 katika Mwaka 2021/22 ilizalisha Mapato ya Bilioni 45.67 na kuwa na gharama ya Bilioni 70.57, hivyo ikasababisha hasara ya Bilioni 24.9 kutokana na idadi ndogo ya abiria na idadi ndogo ya safari za kimataifa

#RipotiCAG2023
Jamii Forums

CAG Kichere: Mfuko wa Taifa wa Bima ya #Afya (NHIF) ulipata hasara ya Shilingi Bilioni 204.65 kwa Mwaka 2021/22 kutokana na ongezeko la gharama za Mafao ya Matibabu na gharama za Huduma kwa Wanachama ambazo hazikulingana na Mapato yaliyoongezeka

#RipotiCAG2023
Jamii Forums

CAG Charles Kichere: Nilibaini Magari yenye thamani ya Shilingi Bilioni 35.29 yaliyonunuliwa kupitia Wakala wa Huduma za Ununuzi Serikalini (GPSA) yalikuwa hayajapokelewa mpaka wakati tunamalizia ukaguzi wetu Mwezi Desemba

#RipotiCAG2023 #Ubadhirifu
Jamii Forums

CAG Kichere: Mamlaka 3 za Serikali za Mitaa zilitoa jumla ya Shilingi Milioni 895.94 kwa vikundi 48 ambavyo havikuwepo, yaani vikundi hewa

Vikundi 201 vilivyopewa mikopo ya Shilingi Milioni 774. 66 havikutekeleza Miradi iliyoidhinishwa na badala yake waligawana Fedha hizo… https://twitter.com/i/web/status/1643917226385235979