Swahili News
3.75K subscribers
111K photos
59.9K videos
28 files
269K links
🐾
Download Telegram
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Azam TV (Twitter)

“Tutakuwa na dakika moja ya maombolezo kifo cha Rais wa zamani wa Kenya” maneno ya Afisa Habari wa Bodi ya Ligi Kuu Tanzania, Karim Boimanda

Mechi saa 11:00 jioni na tutakuwa LIVE #AzamSports1HD kuanzia saa 1:00 asubuhi

#NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdates
Azam TV (Twitter)

#NBCPL Ni sare ya kibabe mno kwenye Dimba la Nyankumbu, Geita

FT: Geita Gold 2-2 Azam.

Sema neno kuhusu game hii….

#AzamSports1HD #NBCPremierLeague #NBCPL #LigiKuuYaNBC #NBCPLUpdates #GeitaGoldFC #AzamFC #GeitaGoldAzam
Azam TV (Twitter)

MSIMAMO: Geita Gold wanapoteza fursa ya kuionja ‘top-four’ kwa mara ya kwanza na kusalia pale pale walipokuwa.

#NBCPL #NBCPLUpdates #NBCPremierLeague #SisiNiSoka #Standing #LeagueTable #Msimamo #AzamSports1HD #AzamSports2HD
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
DW Kiswahili - Dunia Yetu Leo Jioni | Facebook
DW Kiswahili (Facebook)

3.3K views, 249 likes, 16 loves, 135 comments, 53 shares, Facebook Watch Videos from DW Kiswahili: Tupo mubashara katika matangazo yetu leo ya jioni
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
DW Kiswahili - Mpango wa ufugaji nyuki ili kuokoa mashamba | Facebook
DW Kiswahili (Facebook)

Wadau katika sekta ya mazingira wamezindua mpango wa ufugaji nyuki kwenye mipaka ya mashamba ya wakulima na mbuga ya Wanyama pori ya Tsavo, ili kukomesha...
Rushwa ya ngono yatajwa bado tatizo vyuo vikuu na vyumba vya habari

Vitendo hivi vimetajwa kuwa bado vinaendelea katika vyumba vya habari na wanafunzi wa elimu ya juu katika eneo la Afrika Mashariki hususan Tanzania lakini imekuwa ni siri kubwa kwa wanawake waofanyiwa vitendo hivyo kwani huwa hawatoi taarifa kwenye vyombo vya sheria.

https://av.voanews.com/clips/VSW/2022/04/29/20220429-163000-VSW070-program_48k.mp3
Duniani Leo

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari

https://www.voaswahili.com/a/6550706.html
ZULIA JEKUNDU: Michezo ya kuigiza kukabiliana na unyanyasaji dhidi ya wanawake Kenya.

Wiki hii katika Zulia Jekundu, Kenya inafanya michezo ya kuigiza kukabiliana na tatizo la manyanyaso dhidi ya wanawake.

https://www.voaswahili.com/a/6550718.html