Swahili News
3.76K subscribers
110K photos
59.4K videos
28 files
268K links
🐾
Download Telegram
Shirika la ndege la Kenya latarajia kupata faida mwaka huu

Mkurugenzi mkuu wa shirika la ndege la Kenya Allan Kilavuka amesema Jumanne kwamba shirika hilo linalenga kuongeza mapato yake kwa asilimia 20 mwaka huu.

https://www.voaswahili.com/a/shirika-la-ndege-la-kenya-latarajia-kujipatia-faida-mwaka-huu/6442644.html
Thailand yadai Amnesty linashirikiana na waandamanaji

Msaidizi wa ngazi ya juu wa waziri mkuu wa Thailand Prayut Chan- ocha amesema Jumanne kwamba ataendelea na shinikizo lake la kuondolewa kwa shirika la kimataifa la kutetea haki za binadamu la Amnesty kutoka nchini humo.

https://www.voaswahili.com/a/thailand-yadai-amnesty-linashirikiana-na-waandamanaji/6442656.html
Duniani Leo

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari

https://www.voaswahili.com/a/6442661.html
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Azam TV (Twitter)

NENO LA SIMBA KWA RUVU SHOOTING: “Baada ya kucheza mechi ngumu dhidi ya Asec Mimosas, tunakwenda kurifresh” maneno ya Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba SC, Ahmed Ally akiielezea mechi yao ya kesho dhidi ya Ruvu Shooting.

#ASFC #SimbaSC #RuvuShooting @SimbaSCTanzania
Azam TV (Twitter)

#ASFC Game imekwisha….. Polisi nao wanakwenda robo fainali.

FT’: Prisons 0-2 Polisi (Said Khamis 40’, Daruesh Saliboko 83’)

#AzamSportsFederationCup #KombeLaShirikishoLaAzamSports #TanzaniaPrisonsVsPolisiTanzania #TanzaniaPrisons #PolisiTanzania #PrisonsPolisi
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Azam TV (Twitter)

RED CARD: Ameingia dimbani dakika ya 84, akapata kadi ya kwanza dakika ya 86 kisha dakika ya 87 akala 'umeme'.

Huyu ni Laurent Alfred wa Polisi Tanzania. Tazama ilivyokuwa.

FT’: Prisons 0-2 Polisi

#RedCard #AzamSportsFederationCup #ASFC #TanzaniaPrisons #PolisiTanzania
Azam TV (Twitter)

#ASFC Ni Bangala na Mayele hadi sasa......

30': Yanga 2-0 Biashara United (Bangala 22’, Mayele 28')

LIVE #AzamSports1HD

#AzamSportsFederationCup #KombeLaShirikishoLaAzamSports #ASFC #YangaSC #BiasharaUnited #YangaBiashara
Azam TV (Twitter)

#ASFC Ni mapumziko…. Ni Yanga walio mbele.

HT: Yanga 2-1 Biashara United (Bangala 22’, Mayele 28’ / Opare 38’)

LIVE #AzamSports1HD

#AzamSportsFederationCup #KombeLaShirikishoLaAzamSports #ASFC #YangaSC #BiasharaUnited #YangaBiashara
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Azam TV (Twitter)

#ASFC Goli la kwanza ni Yanick Bangala.

HT: Yanga 2-1 Biashara United (Bangala 22’, Mayele 28’ / Opare 38’)

LIVE #AzamSports1HD

#AzamSportsFederationCup #KombeLaShirikishoLaAzamSports #ASFC #YangaSC #BiasharaUnited #YangaBiashara