Swahili News
3.76K subscribers
110K photos
59.4K videos
28 files
268K links
🐾
Download Telegram
Masoud Kipanya (Facebook)

Ila wanajiuliza mbona mbege inatengenezwa tokea kizazi na kizazi lakin maisha yao n mazuri tu hawajawah kulia njaa...
Alfajiri

Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.

https://av.voanews.com/clips/VSW/2022/01/24/20220124-030000-VSW070-program_32k.mp3
Super4 News (Facebook)

#NUKUU Unatakiwa kupambana kupitia siku mbaya ili kuwa na siku bora katika maisha yako.
Super4 News (Facebook)

"Watu waliofanikiwa sana ni wale waliovizuri kwenye Mpango mbadala (Plan B).

Ni kweli?...
TBConline (Facebook)

Men Crush Monday: Tumeianza wiki, embu waachie ujumbe rafiki zako wa kiume juu ya utafutaji fedha.

Maoni yako yatasomwa katika kipindi cha Jambo Tanzania kinachoendelea hivi sasa.

#JAMBOTANZANIA
DW Kiswahili (Facebook)

Natumai Wikendi yako ilikuwa ya kupendeza. Ninakukaribisha kwenye kipindi cha Jukwaa la Manufaa. Kama kawaida unatupa maoni yako kuhusu yale ambayo ungependa kuyaona yakifanyika katika jamii. Ukitaka pia kushiriki kwa njia ya simu, pia tuachie nambari yako ya simu. Nahodha wa kipindi kwa leo ni Zainab Aziz.
TCRA_TANZANIA (Twitter)

TEHAMA imeangaza nuru kwenye mifumo ya utoaji na upatikanaji wa Elimu; tuitumie kwa manufaa ya kizazi cha sasa na baadaye.

#2022yakidijitali
DW Kiswahili (Facebook)

Marekani imeziamuru familia za wanadiplomasia wake kuondoka Ukraine, huku hofu ya uvamizi wa Urusi ikiwalaazimu mawaziri wa Umoja wa Ulaya kukutana kuratibu majibu yao na kuandaa orodha ya vikwazo dhidi ya Moscow.
☞ @HabariTz

Hatma ya Assange kuamuliwa Uingereza

Mahakama kuu ya Uingereza inajiandaa kutoa uamuzi  kuhusu ikiwa mwanzilishi wa mtandao wa kufichua siri WikiLeaks Julian Assange anaweza kuyapeleka mapambano yake katika mahakama ya juu zaidi ya Uingereza