Swahili News
3.75K subscribers
111K photos
59.9K videos
28 files
269K links
🐾
Download Telegram
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
TCRA_TANZANIA (Twitter)

Usikose kufuatilia kipindi cha Bambo la Mtaa kinachorushwa kila siku ya Alhamisi kuanzia Saa Mbili na nusu Usiku kupitia Chaneli ya Clouds TV.

Usikose!!!
JamiiForums (Instagram)

ECOWAS YASIMAMISHA UANACHAMA WA GUINEA
-
Jumuiya ya Kiuchumi ya Nchi za Afrika Magharibi (#ECOWAS) imesimamisha uanachama wa #Guinea katika mkutano wa Viongozi wa Jumuiya baada ya Wanajeshi wa Nchi hiyo kuiangusha Serikali ya Rais Alpha Conde
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Burkina Faso, Alpha Barry aliyeshiriki kwenye mkutano huo wa Viongozi wa Nchi 15 amesema Guinea imesimamishwa kwenye Mabaraza yote ya kupitisha maamuzi ya ECOWAS

#JamiiForums #Democracy
JamiiForums (Instagram)

MTERA: VIBOKO WAUA WAVUVI 12 NA KUJERUHI 15 KUANZIA FEBRUARI 2020 HADI AGOSTI 2021
-
Mkuu wa Wilaya ya Iringa, Mohamed Hassan Moyo amesema kwa kipindi cha Februari 2020 hadi Agosti 2021 jumla ya wavuvi 12 waliuawa huku wengine 15 wakijeruhiwa kwa kuvamiwa na viboko ndani ya bwawa
-
Shughuli za uvuvi nyakati za usiku zimetajwa kuwa hatarishi kwani viboko huwa katika harakati za kutafuta chakula. Wavuvi wametakiwa kuzingatia njia sahihi ya salama ili kujilinda
-
Aidha, Moyo amesema zana duni za uvuvi na kufanya shughuli karibu na mazizi ya viboko huhatarisha maisha ya wavuvi

#JamiiForums
Chaz Lee (Facebook)

😳😁
DW Kiswahili (Facebook)

Natumai u bukheri wa afya. Muda mfupi ujao, Dunia Yetu leo mchana itakuwa hewani na hizi ni baadhi ya ripoti tunazozishughulikia:

πŸ‡¬πŸ‡³Jumuiya ya kiuchumi ya nchi za Afrika magharibi ECOWAS imesimamisha uanachama wa Guinea katika mkutano wa kilele wa viongozi wa jumuiya hiyo uliofanyika jana Jioni. Kikao hicho kiliitishwa baada ya hatua ya wanajeshi wa nchi hiyo kuiangusha serikali ya rais Alpha Conde. πŸ‡°πŸ‡ͺRais Uhuru Kenyatta ametangaza kuwa ukame unaoyakumba maeneo kadhaa ya nchi ya Kenya kuwa janga la taifa. Kenyatta ameagiza Wizara ya Fedha na Usalama wa taifa kuongoza kwenye juhudi za serikali za kuhakikisha kuwa kila familia iliyoathirika inapata mahitaji ya msingi. πŸ‡¨πŸ‡©Hali ya taharuki inaripotiwa katika mkoa wa Kivu Kusini, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo baada ya wananchi kuandamana. Kipi...

View original post
millard ayo (Facebook)

#UNAAMBIWA Hili ni moja ya Magereza ya Nchini Bolivia ambalo Wafungwa wameanzisha Jamii yao na wanaweza kujisimamia wao wenyewe hakuna Askari anayewalinda au kuwasimamia ndani ya Gereza.

Wafungwa wanafanya uchaguzi Wao wenyewe na kuchagua Viongozi wao, wanatunga sheria na kanuni zao, wanatafuta pia kazi za kufanya ili kuendesha maisha na kulipia pango ya Gereza na wanaruhusiwa hata kupeleka Familia zao na kuishi nazo Gerezani, yaani kama una Mke, Mume au Mpenzi wako amefungwa unaweza kuamua tu na wewe kuhamia zako Gerezani ukaishi nae hadi siku akiachiwa huru mnarudi wote Uraiani. πŸ˜„
TBConline (Facebook)

Katuni hii inaitwaje na ilikuwa inapatikana kwenye jarida gani?
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Millard Ayo
WAZIRI GWAJIMA NA WAUGUZI β€œHELA HAIWATOSHI, WANAKAA NA WAGONJWA”

Waziri wa afya Dkt Dorothy Gwajima amefungua mkutano wa wauguzi pamoja na wadau wa masuala ya afya ambapo pamoja na mambo mengine waziri huyo amesema mishahara ya wauguzi imekuwa haitoshi kulinganisha na kazi wanazozifanya

βž– @HabariTz βž–
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Millard Ayo
AJALI: MWENDOKASI NA BODABODA, MASHUHUDA WAFUNGUKA "WAMEFARIKI PAPOHAPO, HAWAJAVAA HELMET"

Mashuhuda wa tukio la ajali iliyohusisha basi la Mwendo wa Haraka maarufu Mwendokasi na Bodaboda katika makutano ya barabara maeneo ya Lumumba Dar es Salaam wamesema watu wawili wamefariki dunia katika tukio hilo la ajali.

βž– @HabariTz βž–
Swahili News
Photo
Millard Ayo
ALIYEKIMBIWA NA MKEWE NA KUACHIWA WATOTO, AFOKEANA NA MAMA MKWE β€œUMEMFICHA MKE WANGU, SIKUOGOPI”


Kutoka Kijukuu cha Matipwili Mkoani Pwani, leo tupo na mwendelezo wa story ya Emmanuel Luziga, Baba wa Watoto watatu aliyekimbiwa na Mkewe (Winfrida) ambaye amezaa nae Watoto hao na wamedumu kwenye ndoa kwa zaidi ya miaka 16 lakini kwa sasa Mkewe ametoweka nyumbani na kumuachia Watoto hao.

Emmanuel amepambana kumtafuta Mkewe kwa zaidi ya miezi miwili sasa bila mafanikio, amefukuzwa kazi na anakiri haijui kesho yake, kwenye maelezo yake alionesha kuwa na wasiwasi kuwa huenda Mama Mkwe wake anajua alipo Mkewe na tumeamua kuja nae Matipwili na kumkutanisha na Mama Mkwe wake.

Namba za Michaeli ni 0785979788 au 0746667710 (Michael Emmanuel )

βž– @HabariTz βž–
Swahili News
Photo
Millard Ayo
MREMBO ANAYEUZA MISWAKI YA MITI, AGOMEA MSHAHARA WA MIL.8 "WALITAKA NIVAE KIMINI"


Ayo Tv na Millardayo.com leo inakukutanisha na mrembo wa Kitanzania aitwaye Diana ambaye kwa sasa ni Mjasiriliamali wa kuuza Miswaki ya Mianzi huku akiwa amekataa ajira ambapo kwa mwezi angelipwa Shilingi Mil.8.

βž– @HabariTz βž–
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Millard Ayo
TAMASHA LA VYAKULA ZANZIBAR, RC AYOUB AFUNGUKA, WAVUVI 10,000 "HAIJAWAHI KUTOKEA DUNIANI"

Tamasha la Kimataifa linalohusu rasilimali na vyakula baharini limelenga kuwakutanisha wavuvi 10,000 na kutoa ajira za muda zisizopungua Watu 16,322 katika mkoa wa Kaskazini Unguja.

Hayo yamesemwa na Mkuu wa mkoa huo, Ayoub Mohammed Mahmoud, wakati akizungumza na waandishi wa habari kuhusuniana na tamasha hilo linalojulikana kama Zanzibar Sea food Festival ambalo litafanyika kwa siku mbili kuanzia Oktoba 8 hadi 9 mwaka huu.

βž– @HabariTz βž–
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Millard Ayo
HATARI: TRENI INAYOPITA KATIKATI YA SOKO, WATU WANAONDOA BIASHARA ZAO, INAPIGA HONI WATU WANAPISHA

#UNAAMBIWA Soko hili ambalo lipo Nchini Thailand linatajwa kuwa moja ya masoko hatari duniani kutokana na soko hilo kuwepo katikati ya reli ambapo wakisikia honi ya Treni ndio Wafanyabiashara wanaondoa bidhaa zao kuipisha

βž– @HabariTz βž–
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Millard Ayo
DC LIJUALIKALI AKAMATA RISASI ZAIDI YA 1500 ZIWA TANGANYIKA, WAVUVI WALIJUA DHAHABU

Mkuu wa wilaya ya Nkasi Mkoani Rukwa Peter Lijualikali amekamata risasi zaidi ya 1500 ambazo zimevuliwa na wavuvi wa kijiji Cha korongwe kata ya korongwe wilayani humo.

Lijualikali amesema tayari kamati ya ulinzi na usalama inafanyia kazi swala hilo ili kutambua nani aliziweka risasi hizo katika ziwa hilo.

βž– @HabariTz βž–