"NDUGU WAMETAHARUKI KUSIKIA MBUNGE JERRY SILAA AMEKAMATWA NA POLISI"-JERRY SILAA
https://www.youtube.com/watch?v=JkGd9yXtabc

YouTube
"NDUGU WAMETAHARUKI KUSIKIA MBUNGE JERRY SILAA AMEKAMATWA NA POLISI"-JERRY SILAA
Mbunge wa Ukonga, Jerry Silaa amefika mwenyewe katika Kamati ya Bunge ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge kuhojiwa licha ya jana Kamati hiyo kutoa ombi kwa Spika wa Bunge Job, Ndugai akamatwe.
Silaa aliitwa kuhojiwa kwa mara ya kwanza katika kamati hiyo…

RC ANDENGENYE AWAAPISHA WAJUMBE WA ARDHI “HII KAZI NI NYETI, MSITISHIKE''
https://www.youtube.com/watch?v=pQW7KOlrjdA

Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Kamishina wa Polisi Thobias Andengenye awaapisha na kuwaasa wajumbe wa Mabaraza ya Ardhi na Nyumba wa Wilaya ya Kigoma,Kasulu na Kibondo kutekeleza majukumu yao kwa uaminifu na uadilifu pia kwa kutenda haki na kufuata sheria .
SABAYA ARUDISHWA MAHAKAMANI KWENYE KESI YA UHUJUMU UCHUMI, NYARAKA ZAKWAMISHA
https://www.youtube.com/watch?v=9SdM0qjk0Zs

Kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili aliyekuwa mkuu wa Wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya na wenzake imeahirishwa kutokana na upande wa mashtaka nyaraka zinazoiwezesha Mahakama hiyo kusikiliza kesi hiyo kutokuwa tayari.
Kwa sababu zilizo nje ya uwezo imelazimika kubadilisha Venue ya usiku wa The Icon! Badala ya Gymkhana Grounds, show la kibabe litapigwa parking Nyumbani Lounge Namanga.
Kilichobadilika ni Venue tu! Burudani iko pale pale 🙌🏽 • #TheIcon https://t.co/enc0ip9yte

JamiiForums (Instagram)
MBUNGE SILAA AFIKA MBELE YA KAMATI KABLA YA KUKAMATWA
-
Mbunge wa Ukonga (CCM), Jerry Silaa amefika katika Kamati ya Bunge ya Haki, Maadili na Madaraka kuhojiwa baada ya Kamati hiyo kutoa ombi kwa Spika Job Ndugai kutaka akamatwe
-
Kamati iliomba kukamatwa kwa Mbunge huyo na kufikishwa katika kikao cha kamati saa 4.00 asubuhi leo Ijumaa Agosti 27, 2021. Silaa alihojiwa kwa mara ya kwanza Agosti 24, 2021 akituhumiwa kusema uongo, kushusha hadhi na heshima ya Bunge.
#JamiiForums #UtawalaBora

DAR: MMOJA MBARONI KWA TUHUMA ZA MAUAJI
-
Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam linamshikilia Mohamed Jumaa (37) kwa tuhuma za mauaji ya walinzi Eliakim Morali (30) na Saunkoo Bakari (35)
-
Tukio hilo limetokea Agosti 26 eneo la Tungi wilaya ya Kigamboni katika kituo cha kuuza mafuta cha JM. Kamanda Muliro Jumanne amesema Mtuhumiwa anadaiwa kuwagonga kwa makusudi walinzi hao na Lori, ikielezwa walifariki papo hapo
-
Mbali na vifo, watu sita wamejeruhiwa katika tukio hilo na kufikishwa Hospitali kwa matibabu
#JamiiForums

Azam TV (Twitter)
MAZOEZI YA AZAM FC: “Lazima upate sehemu tofauti na maeneo ambayo wamekuwa wakiyafanya mazoezi” maneno ya mchambuzi wa soka #AzamTV @rashid_seif1 akilichambua’tizi’ la Azam FC nchini Zambia.
#AzamFC #AzamFCZambia

☞ @HabariTz
Je Armin Lachet anapaswa kubebeshwa lawama za kuanguka kwa umaarufu wa chama CDU?
Wakati umebakia mwezi mmoja tu kufanyika uchaguzi mkuu nchini Ujerumani, kambi ya wahafidhina imeendelea kuanguka katika umaarufu. Anayebebeshwa lawama ni mgombea wake wa ukansela Armin Laschet.

Deutsche Welle

Wanajeshi wa kigeni wako katika tahadhari baada ya shambulio la IS Afganistan
Maafisa wa usalama wanaosaidia kuwaondoa Waafghanistan wanaoitoroka nchi kutokana na kitisho cha utawala wa kundi la Taliban, wapo katika tahadhari kubwa ya mashambulizi zaidi baada ya shambulizi la IS lililowaua wengi

👉 @HabariTz
Afghanistan: Wakimbizi wataenda wapi baada ya Taliban kuchukua udhibiti?
Maelfu ya watu wanahangaika kukimbia Afghanistan baada ya Taliban kuchukua udhibiti wa nchi hiyo.

BBC News Swahili
Wakimbizi wa waAfghan wanaenda wapi? - BBC News Swahili
Maelfu ya watu wanahangaika kukimbia Afghanistan baada ya Taliban kuchukua udhibiti wa nchi hiyo.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
DW Kiswahili - Unajiua gari ya Rolls Royce aka 'Rick Ross'? | Facebook
DW Kiswahili (Facebook)
DW Kiulizo: Wakazi wa Mbeya wanasema huko kwao kuna matariji wenye uwezo wa kununua hata magari matatu ya Rolls Royce au kama wanavyolifahamu wao ‘Rick...

Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
DW Kiswahili (Facebook)
Msichana Gwantwa amejikita katika utengenezaji wa filamu za vibonzo ili kuiteka hadhira ya watoto ambao ndio nguvu kazi ya baadae, dhima yake ni kuelezea changamoto zinazomkumba msichana na mwanamke.
Mengi zaidi na Hadija Halifa aliyezungumza na Gwantwa Lucas wa taasisi ya SOMA. #Kurunzi #Msichanajasiri

millard ayo (Facebook)
Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam linamshikilia Mohamed Jumaa (37),Mkazi wa Kariakoo kwa tuhuma za mauaji ya walinzi wawili waliofahamika kwa majina ya Eliakim Morali(30), Mkazi wa Mbezi Beach, Mlinzi wa Kampuni ya LOCK FORT SECURITY na Saunkoo Bakari(35), Mkazi wa Buguruni, Mlinzi Binafsi (BAUNSA).
“Mnamo tarehe 26 Agosti, 2021 majira ya saa 12 jioni huko eneo la Tungi Wilaya Kigamboni katika kituo cha kuuzia mafuta cha JM PETROL STATION, Mtuhumiwa aliwaua walinzi hao kwa kuwagonga kwa makusudi na gari lenye namba T 176 CVP aina ya DAF lori lililokuwa na tera ambalo halina namba za usajili” “Mtuhumiwa alifika katika kituo hicho cha kuuzia mafuta cha JM PETROL STATION alichokuwa ana kimiliki kwa ajili ya kuhamisha mali zake lakini alichukua gari lake na kutoka nje ya kituo na ghafla alir...
View original post

Leo ndio ile Ijumaa iliyosubiriwa na Mashabiki wameitunuku hii siku maalum kabisa kwa ajili ya Wasanii hodari kupata kutokea kwenye Bongofleva ambao ni Lady Jaydee na Profesa J ambao wameandaa Concert yao iitwayo The ICON ambayo ilitangazwa sana kwamba itafanyika viwanja vya Gymkana lakini sasa location imebadilishwa na itafanyika leoleo kwenye parking za Nyumbani Lounge Namanga DSM.
Profesa J amesema "kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wetu tumebadilisha eneo la kufanyia Tamasha letu kubwa la The ICON, sasa litafanyika viwanja vya Nyumbani Lounge Namanga, burudani ya kiwango cha juu sana iko palepale, mwambie mwenzio amwambie mwenzake kuwa leo mchongo mzima upo NYUMBANI LOUNGE, karibuni sana" #MillardAyoUPDATES

MSANII NANDY ALIVYOONGOZA WASANII WENZAKE KWENYE MAANDAMANO KWA MIGUU KUTOKA KIJITONYAMA HADI MWENGE
https://www.youtube.com/watch?v=-VGtUNB61cc

Ni Msanii Nandy ambaye leo amewaongoza Wasanii wenzake wa kwenye Tamthilia ya Huba katika maandamano ya miguu kutoka kijitonyama mpaka mwenge
Play kutazama
Play kutazama
NANDY AMEFUNGUKA SABABU YA KUFANYA MAANDAMANO ATANGAZA KUBWA HILI
https://www.youtube.com/watch?v=4HfDp1KIa1M

Mwimbaji staa Nandy amezungumza na waandishi wa habari leo August 7, 20221 baada ya maandamano ya kutembea kwa miguu kutoka Kijitonyama mpaka Mwenge. PLAY kutazama alichozungumza
LIVE: POLISI WALIOUAWA KWA KUPIGWA RISASI, WANAAGWA MUDA HUU
https://www.youtube.com/watch?v=uTRscKI6ezo
https://www.youtube.com/watch?v=uTRscKI6ezo
YouTube
LIVE: POLISI WALIOUAWA KWA KUPIGWA RISASI, WANAAGWA MUDA HUU
☞ @HabariTz
Afrika katika magazeti ya Ujerumani
Magazeti ya Ujerumani yameandika juu ya Afrika kuhusu matukio ya kisiasa nchini Tanzania. Hissene Habre aliyekuwa rais wa Chad amekufa kutokana na maradhi ya corona na Ethiopia yatengeneza mtandao wake wa kijamii.