Swahili News
3.75K subscribers
111K photos
59.7K videos
28 files
268K links
🐾
Download Telegram
Matangazo ya Dira ya Dunia TV — BBC News Swahili
https://youtu.be/Wwr4IOzth_4 28:23
Swahili News
Photo
Voice of America
Kenyatta ahimiza mahakama Kenya kushikamana na maadili

Rais wa Kenya ahimiza mahakama kuongozwa na maadili ya kisheria na maslahi ya wananchi wa Kenya katika maamuzi yake.
Audio
Kwa Undani
millard ayo (Facebook)

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Hemed Suleiman Abdullah amesema Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar itagharamia mazishi ya Watu waliofariki kufuatia ajali ya Basi la Kampuni ya Classic iliyotokea Shinyanga alfajiri ya leo wakati Basi hilo likitokea Uganda kuja Dar es Salam.

"Rais anawapa Ndugu wa Marehemu pole sana kwa msiba huu wa kuondokewa na Wapendwa wenu na Serikali itagharamia shughuli za mazishi”———-Hemed Waliofariki kwenye ajali hiyo ni watatu wote kutokea Zanzibar (Rehema Haji Juma, Wahda Yussuf na Nassor Juma Khamis), waliotoka wakiwa wazima ni 14 , Majeruhi 10 wanaendelea na matibabu na wawili wapo ICU Bugando Hospital. #RIPNduguzetu
millard ayo (Facebook)

Hizi ni picha za Mkuu wa zamani wa Majeshi wa Uganda Jenerali Katumba alipofika kwa ajili ya kuaga mwili wa Mtoto wake aitwae Brenda ambaye amefariki Dunia jana baada ya Watu wasiojulikana kulishambulia kwa risasi gari walilokuwemo ambapo pia Dereva naye amefariki, Jenerali Katumba alijeruhiwa na kulazwa Hospitali kabla ya kuruhusiwa leo kumuaga Mwanae.

Jenerali Katumba Wamala ambaye amekuwa Waziri wa uchukuzi na ujenzi kwenye Serikali ya Rais Yoweri Museveni ya muhula wa tano anatambulika kama Mtu asiyependa makuu na hatembei na msafara wa Walinzi kama wenzake walio kwenye ngazi za juu za Serikali, swipe kuona matukio mengine. #MillardAyoUPDATES (📸 via Daily Monitor)