Swahili News
3.77K subscribers
109K photos
59K videos
28 files
267K links
🐾
Download Telegram
Swahili News
Photo
Voice of America
Kenya yafanikiwa kuwavutia watalii licha ya COVID-19

Juhudi za serikali ya Kenya wakati huu wa Janga la Corona zimeanza kuzaa matunda kwa kuanza kuwasili watalii 189 kutoka Ukraine baada ya kipindi kirefu chenye changamoto kwa Utalii.
Audio
Kwa Undani
Chris Mugalu anarejea kikosini na goli, Simba wapo on fire.

Dk 24: Kagera Sugar 0-2 Simba SC #VPL https://t.co/0DSA5Pnh2F
Dakika 45 za kwanza zimemalizika kwa Mnyama kuwa mbele kwa 2-0 dhidi ya wenyeji Kagera Sugar katika dimba la Kaitaba. #VPL https://t.co/TV3vjKUv4v
Mnyama anaendelea kuzikusanya pointi katika harakati za kusaka ubingwa wa 4 mfululizo. https://t.co/DQK4vACKWa
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Waziri wa Afya, Dorothy Gwajima ameeleza kuwa Rais, Samia Suluhu ameridhia na ametoa shilingi Bilioni 80 kwa ajili ya kuimarisha upatikanaji wa dawa, vipimo na vifaa tiba eneo ambalo limeonekana kuwa kero kubwa kwa sasa"

#KutokaBungeni
#CloudsDigitalUpdates https://t.co/BQQGIn8E2O
"NILIPEWA LAANA NYUMBANI KISA CHADEMA"

"Kwa bahati mbaya mama yangu hajui kabisa siasa anapenda sana kusali muda wote, mashangazi zangu ni CCM waliobobea, walikuwa wakinitolea laana, ili kulinda ndoto yangu nilihama nyumbani" - Aida Khenani, Mbunge Jimbo la Nkasi Kaskazini https://t.co/A4GShdfWK2
"Jambo ambalo nitamkumbuka Hayati John Magufuli ni uthubutu wake haijalishi hicho kitu kitakuwa na athari kiasi gani lakini aliamini hayo yote yanawezekana kurekebishika, natamani na Mama Rais Samia Suluhu Hassan awe na uthubutu"- Aida Khenani, Mbunge wa Jimbo la Nkasi Kaskazini https://t.co/e4IjZ5jcU7
9 Juu ya alama kama Taifa macho, masikio yote kwa #MalkiawaNguvu namba 1 Mh Rais @SuluhuSamia akiunguruma kutokea Dodoma kulihutubia Bunge la Jamhuri ya Muungano.

Ikaribie Clouds TV, isogelee Clouds FM, jiweke karibu na platforms zote za Clouds Digital kwa kila update. https://t.co/nGgnW6iEnF
Wageni mbalimbali wakiwa katika ukumbi wa Bunge jijini Dodoma tayari kusikiliza hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, #MalkiaWaNguvu Samia Suluhu Hassan inayotarajiwa kuanza saa 10 jioni.

#KutokaBungeni
#CloudsDigitalUpdates https://t.co/JbG5DAQ8Vg
Unaweza kufuatilia mbashara matangazo haya kupitia CloudsTv, CloudsFM pamoja na CloudsDigital (Kurasa zetu za mitandao ya kijamii pamoja na YouTube ya #CloudsMedia)

#KutokaBungeni
#CloudsDigitalUpdates https://t.co/Np0FtPZxmI
“Wakati akizindua Bunge hili Rais wa awamu ya 5 alieleza mambo mengi muhimu ambayo yangepewa umuhimu, hivyo basi kwa kuwa nilishiriki kikamilifu katika kuinadi ilani na kama nilivyowahi kusema nataka nirudie kusema mimi na Hayati Dkt John Magufuli tulikuwa kitu kimoja”- Rais SSH
“Mwelekeo utakuwa kurudisha imani ya wawekezaji. Ndani ya nchi yetu kumekuwa na mzunguko mrefu pale watu wanapokuja kuwekeza, Serikali ya awamu ya sita inakwenda kulimaliza hilo” - Rais SSH