Global Traders ForeX (GTFX )💵
80 subscribers
130 photos
13 videos
6 files
67 links
Free forex Education,Signals, For All,, Help others and share this groups link
https://t.me/GlobalTradersForeX
ᴼᴾᴱᴺ ᴿᴱᴬᴸ & ᴰᴱᴹᴼ ᵀᴿᴬᴰᴵᴺᴳ ᴬᶜᶜᴼᵁᴺᵀ ᴮᵞ ᵁˢᴵᴺᴳ ᵀᴴᴵˢ ᴸᴵᴺᴷ https://secure.templerfx.com/login/sign_up/205697
Download Telegram
Nitazungumzia zaidi candlestick chart kwasababu ndiyo inayotumiaka sana katika kufanya analysis

Candlestick kwa maana nyingine unaweza ukasema ni lugha ambayo traders wa forex hutumia katika kuwasiliana 👍👍👍

Huwezi kutrade Forex kama hujui lugha ya mawasiliano Kati yako na traders wengine duniani😅😅😅
Muonekano wa candlestick👆👆

Kila candlestick unayoiona katika chart yako kuna kitu ina maanisha☺️☺️

Types of candlestick
1.bull candle
Huwa na rang nyingi huwa ina rangi ya KIJANI au NYEUSI (japo unaweza kuweka rangi unayoipenda)
2.bear candle
Mara nyingi huwa na rangi NYEKUNDU au NYEUSI (japo unaweza ukaweka rangi unayoipenda)

Kwa maelezo zaidi kwa kipengele hi unaweza refer 👆juu kwenye kipengele cha terminology used in forex
Unaweza kuongeza knowledge yako kwa kusoma kitabu hiki👇👇👇
Forwarded from VIP FREE SIGNAL CLUB @GlobalTradersForex GTFX🔥🔥💵💸
🔥🔥🔥💵💸

UsdChf sell 1.0193

SL 1.0260

TP 1.0163
Forwarded from VIP FREE SIGNAL CLUB @GlobalTradersForex GTFX🔥🔥💵💸
EURUSD SELL Now 1.11681
💰TP: 1.11000
SL: 1.12070

‼️use small lot - ‼️
XAUUSD SELL Now 1279.70
💰TP: 1268.55
SL: 1285.10

‼️use small lot - ‼️
Kama unahitaji kufungua forex account, kuuliza chochote, VIP Free signal club unahitaji, niulize chochote kuhusu forex hapo chini kwenye hiyo click link 👇👇👇💵💸👍🔥👇👇💥



https://t.me/GlobalTradersForexGTFX
Unaweza ukafungua real & demo account trading forex kujisajili bonyeza link hii https://secure.templerfx.com/login/sign_up/205697
☺️☺️Waweza jifunza kuchora trendline tumia timeframe kuanzia H1 na kuendelea mbele UONE jinsi
Price inavyoreact kwenye trendline
Breakout na false breakout

Maelezo zaidi tazama 👇

Na soma vitabu 👇
TRENDLINE

IMPORTANT TERMINOLOGY
💥💥WICK💥💥
Hizi ni line ambazo huonekana juu au chini ya CANDLE(candlebody) kwa jina jingine huitwa SHADOW
Forwarded from VIP FREE SIGNAL CLUB @GlobalTradersForex GTFX🔥🔥💵💸
XAUUSD SELL Now 1281.10
💰TP: 1274.20
SL: 1287

‼️use small lot - ‼️
Forwarded from VIP FREE SIGNAL CLUB @GlobalTradersForex GTFX🔥🔥💵💸
NZDUSD SELL Now 0.66580
💰TP: 0.66000
SL: 0.66940

‼️use small lot - ‼️
. LONG/BULLISH
Hii ni termonology ambayo unasikia watu wakiiongelea. kama imepatikana opportunity ya kulong/bullish hapa maana yake NUNUA. Bull ni aina za mnyama ambae anakula majani hivo candlestick zake nyingi zinakuwa zikiwakilishwa na rangi ya kijani. Huyu mnyama akitaka kukudhuru huinamisha kichwa chini na anakunyanyua kwa kukuchota kukupeleka juu. Hivyo katika Forex hapa inamaanisha soko linatoka chini linapanda juu.