3. SWING TRADER
hawa ni traders wanaofanya biashara kila siku.... kwa kua kila siku kunakuwa na nafasi za mtiririko/swings katika soko. ukitokea mtririko wa kupanda wanapanda nao.. ukitokea wa kushuka wanashuka nao. Hawa wanafocus sana katika kuangalia mtiririko wenye asili ya uimara zaidi. na mara nyingi hutokea katika kufunguliwa kwa soko la london (London open) na New York open.Hawa wanafanana sana na day trader huwa wanaingia na kutoka katika soko ndani ya siku husika

4. POSITION TRADER
Hawa huingia katika trade kwa siku kadhaa au week. Hii ni aina nzuri kwa wale ambao hawana mda wa kuangalia chart kila siku.
Hawa pia tunaambiwa ni traders ambao wanachukua profit sana ukizingatia wanakua kwenye market kwa mda mrefu hivo kuchukua faida ya week au mwezi. Hivyo aina hii ni kwa wale wenye mitaji mikubwa

Kama unahitaji kufungua forex account, kuuliza chochote, VIP Free signal club unahitaji, niulize chochote kuhusu forex hapo chini kwenye hiyo click link 👇👇👇💵💸👍🔥👇👇💥
https://t.me/GlobalTradersForexGTFX
https://t.me/GlobalTradersForexGTFX
Telegram
GTFX
Candlestick pattern hii hujumuisha candlestick tatu
-Candlestick ya kwanza huwa ni bullish candle
-Candlestick ya pili huwa ni ndogo hii inaweza kuwa bear candle or bull candle(inaweza kuwa doji au aina nyngine ya candlestick) ila lazma iwe fupi
-Candlestick ya tatu lazma iwe bearish candle (kwa ujumla evening star inverted ya morning star ina bearish version)
Tazama picha 👇

Forwarded from VIP FREE SIGNAL CLUB @GlobalTradersForex GTFX🔥🔥💵💸
XAUUSD BUY Now 1275.35
💰TP: 1290
❌SL: 1266.50
‼️use small lot - ‼️
💰TP: 1290
❌SL: 1266.50
‼️use small lot - ‼️
Forwarded from VIP FREE SIGNAL CLUB @GlobalTradersForex GTFX🔥🔥💵💸
GBPNZD SELL Now 1.95600
💰TP: 1.9400
❌SL: 1.96450
‼️use small lot - ‼️
💰TP: 1.9400
❌SL: 1.96450
‼️use small lot - ‼️
Kuna aina mbili za kufanya analysis katika forex trading ambazo ni👇
1.TECHINACAL ANALYSIS
2.FUNDAMENTAL ANALYSIS
1.TECHINACAL ANALYSIS
2.FUNDAMENTAL ANALYSIS
1.TECHNICAL ANALYSIS
Hapa forex trader hutambua thamani ya Currency pair mfano USD/JPY kwa kuangalia chart
Types of chart
1.line chart
2.Bar chart
3.Candlestick chart
Hapa forex trader hutambua thamani ya Currency pair mfano USD/JPY kwa kuangalia chart
Types of chart
1.line chart
2.Bar chart
3.Candlestick chart
Forwarded from VIP FREE SIGNAL CLUB @GlobalTradersForex GTFX🔥🔥💵💸
🔥🔥🔥🔥🔥🔥💵💸💵
AUDUSD BUY Now 0.70115
💰TP: 0.7150
❌SL: 0.6970
‼️use small lot - ‼️
AUDUSD BUY Now 0.70115
💰TP: 0.7150
❌SL: 0.6970
‼️use small lot - ‼️
Feedback- 🌹🌹🌹 channel members enjoying free VIP Signals 🔥🔥💰💰💰💰❤️❤️❤️❤️❤️ - enjoy everyone👆👆👆
Global Traders ForeX (GTFX )💵
GBPNZD SELL Now 1.9370 💰TP: 1.9200 ❌SL: 1.9470 ‼️use small lot - ‼️
🔥🔥🔥💰💰close with 120 + pips🔥🔥🔥💵💵💵
Nitazungumzia zaidi candlestick chart kwasababu ndiyo inayotumiaka sana katika kufanya analysis
Candlestick kwa maana nyingine unaweza ukasema ni lugha ambayo traders wa forex hutumia katika kuwasiliana 👍👍👍
Huwezi kutrade Forex kama hujui lugha ya mawasiliano Kati yako na traders wengine duniani😅😅😅

Muonekano wa candlestick👆👆
Kila candlestick unayoiona katika chart yako kuna kitu ina maanisha☺️☺️
Types of candlestick
1.bull candle
Huwa na rang nyingi huwa ina rangi ya KIJANI au NYEUSI (japo unaweza kuweka rangi unayoipenda)
2.bear candle
Mara nyingi huwa na rangi NYEKUNDU au NYEUSI (japo unaweza ukaweka rangi unayoipenda)
Kwa maelezo zaidi kwa kipengele hi unaweza refer 👆juu kwenye kipengele cha terminology used in forex