Free forex Education For All,, Help others and share this groups link
https://t.me/joinchat/AAAAAEiuMVUk7XGIlC5A2g
Free learning, no fees, no scans

Global Traders ForeX (GTFX )💵
Free forex Education For All,, Help others and share this groups link https://t.me/joinchat/AAAAAEiuMVUk7XGIlC5A2g Free learning, no fees, no scans
Share hii link iwafikie wahitaji kama ilivyokufikia wewe na wewe share kwa wengine. Asante 🙏💸👍 umoja ni nguvu.
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥💥💥💸💵💵profit today Niulize chochote kuhusu forex
hapa 👇👇💵💸👍
https://t.me/GlobalTradersForexGTFX
hapa 👇👇💵💸👍
https://t.me/GlobalTradersForexGTFX
o~Lot = 1,000 USD
Nenda kinyumenyume, utaona kwamba:
1lot = 10 mini~lots = 100 micro~lots
Au kwa namna nyingine;
1Micro~lot = 0.1 Mini~lot = 0.01lot.
Sasa, unapokwenda KUPLACE ORDER ya kuBUY au kuSELL kuna sehemu utaulizwa ujaze SIZE ya ORDER yako. Utajaza 1Lot kwa maana ya unanunua au kuuza 100,000USD au utajaza 0.1lot kwa maana ya unauza au kununua 10,000USD au utajaza 0.01lots kwa maana ya unauza au kununua 1,000 USD.
Sasa twende kwenye thamani ya PIP.
Endapo ULIUZA au KUNUNUA "1 Standard Lot", kila PIP moja unayoipata sokoni kama faida, ni sawasawa na 10 USD. Maana yake, kwa 100,000 USD ulizoTRADE, umepata faida ya 1PIP au 10 USD.
Kama uliTRADE 1minilot, 1PIP ni sawa na 1 USD na kama uliTRADE 1 microlot, PIP moja ni sawa na 0.1 USD.
Umenielewa mpaka hapo? Ngoja nikusisitize yafuatayo kama NB.
Note1: Si kila Currency Pair PIP yake inapimwa kwa 4decimal places. Kuna baadhi sio, mfano Currency Pairs ambazo zina Japaneese Yen ndani yake kama EUR/JPY au USD/JPY na zingine, PIP yake moja inahesabiwa katika sehemu MBILI za Desimali. Ukishakuwa sokoni utazizoea tu usiogope. Utazijua zote.
Note 2: Sio kila 1PIP ni sawa na 10USD kwa 1lot. Kuna tofauti zake pia. Baadhi ya currency pairs, 1lot zao, 1PIP utakuta ni 8USD, 11USD au hata 7USD. Inategemea. Ile ya 1Pip = 10 USD ni Standard. Utazielewa pia ukishaingia sokoni. Ila mpaka hapa, unaweza kuelewa kwamba, aliyepata 25pips za 1lot za:
i) EUR/USD,
ii) EUR/JPY, na
iii) GBP/USD
wanatofautiana kwenye hela kwa sababu thamani ua 1PIP kwao zinatofautiana. Ila tofauti zao si kubwa saaana. Zoote, zinakaribi pale pale kwenye Kwa 1std lot, 1Pip = 10 USD.
6. Hivi Kweli, kuna Retail Trader ataweza kununua 1lot, au 1minilot, au hata 1microlot (kiasi cha chini kabisa cha order moja ambacho ni 1000usd = 2.4mil Tzs) na akasavaivu kwenye hii biashara kweli. Huko si ni kubaguana? Wataifanya wenye nacho tu, si ndiyo?
Hapo sasa, ashukuriwe Mungu kuna Mtukati anaitwa Broker. Ndiye anayetuwezesha mimi na wewe tushiriki Forex. Vingenevyo, ingebaki kuwa ni biashara ya Mabenki, Serikali, Taasisi kubwa kubwa za Kifedha ma Matycoon wakubwa.
Kazi kubwa ya Broker ni kukukopesha hela zake ili uzifanyie biashara ya Forex. Atakuambia kwamfano; ukifungua account ya mtandaoni kwangu, uka~deposite hela, kwa kila Dola 1 utakayo~deposite, nitakukopesha Dola 100 au, 200, au 500 au wengine mpaka 1000! Hicho kitendo kinaitwa "Leverage". Wanaandika hivi:
Leverage:
1:50 (kwa kila dola 1 uyakayoweka kwangu, nakukopeaha 50), au
1:100 (weka 1, kopa 100), au
1:500 (weka 1 kopa 500) n.k, n.k
Kwamfano sasa, ukiweka USD 100 kwenye account yenye Leverage ya 1:500 maana yake ni nini?
Kwa kila dola 1 uliyo~deposite anakukopesha dola 500. Kwa hiyo, jumla utakuwa na dola 100 x 500 = 50,000. Hiyo inaitwa "Purchasing Power". Hapo maana yake ni kwamba unauwezo sasa wa kununua au kuuza USD 50,000 ambayo ni sawa na 0.5 lot size, tofauti na awali ambapo ungetegemea 100$, usingeweza kuuza au kununua chochote (hata order ndooogo kabisa ambayo ni Micro~Lot = 1000usd).
Brokers wanakuchaji wewe comission wakati wowote unapoTRADE, ndipo kipato chao kilipo. Siku nyingine nitawazungumzia kwa undani kidogo hawa maBroker. Kwa leo niishie tu hapo..
Niulize chochote kuhusu forex

GBPNZD SELL Now 1.9370
💰TP: 1.9200
❌SL: 1.9470
‼️use small lot - ‼️
💰TP: 1.9200
❌SL: 1.9470
‼️use small lot - ‼️
JINSI YA KUTUMIA MT4 KATIKA SIMU AINA YA ANDROID.
Hii ni platform tunayoitumia kutrade forex
Ingia katika playstore kwenye simu yako na andika META TRADER 4
👇🏼👇🏼👇🏼👇🏼

Baada ya kuiona app hio click INSTALL na fuata maelekezo ya jinsi ya ku INSTALL
Unapoingia katika app kwa mara ya kwanza screen itakuonesha namna ya kusajili akaunti mpya.
👇🏼👇🏼👇🏼

Kama ndo mara ya kwanza kutrade forex click start without registration
Utapewa account ya demo automatically na kuendelea kuitumia kwa mazoezi na kupata ujuzi zaidi
https://t.me/GlobalTradersForexGTFX
Utapewa account ya demo automatically na kuendelea kuitumia kwa mazoezi na kupata ujuzi zaidi
https://t.me/GlobalTradersForexGTFX
Global Traders ForeX (GTFX )💵
Photo
Baadhi ya faida /some profit after trade forex💸💸💵 boom boom,, From VIP SIGNAL CLUB
MISAMIATI ILIYOPO FOREX
1. BASE CURRENCY
Hiki ni kiini msingi katika kununua au kuuza katika forex. kama utabuy USD/JPY Hii ni kumaanisha unanunua dola ya kimarekani na wakati huohuo unauza yen ya kijapani.
2. QUOTE CURRENCY
Hii ni ile sarafu ya pili katika pair ya sarafu husika unapofanya trade. Mfano USD/JPY, JPY ndio quote currency.
1. BASE CURRENCY
Hiki ni kiini msingi katika kununua au kuuza katika forex. kama utabuy USD/JPY Hii ni kumaanisha unanunua dola ya kimarekani na wakati huohuo unauza yen ya kijapani.
2. QUOTE CURRENCY
Hii ni ile sarafu ya pili katika pair ya sarafu husika unapofanya trade. Mfano USD/JPY, JPY ndio quote currency.
Free forex Education For All,, Help others and share this groups link
https://t.me/GlobalTradersForeX
ᴼᴾᴱᴺ ᴿᴱᴬᴸ & ᴰᴱᴹᴼ ᵀᴿᴬᴰᴵᴺᴳ ᴬᶜᶜᴼᵁᴺᵀ ᴮᵞ ᵁˢᴵᴺᴳ ᵀᴴᴵˢ ᴸᴵᴺᴷ https://secure.templerfx.com/login/sign_up/205697
Free learning, no fees, no scans
https://t.me/GlobalTradersForeX
ᴼᴾᴱᴺ ᴿᴱᴬᴸ & ᴰᴱᴹᴼ ᵀᴿᴬᴰᴵᴺᴳ ᴬᶜᶜᴼᵁᴺᵀ ᴮᵞ ᵁˢᴵᴺᴳ ᵀᴴᴵˢ ᴸᴵᴺᴷ https://secure.templerfx.com/login/sign_up/205697
Free learning, no fees, no scans
Telegram
Global Traders ForeX (GTFX )💵
Free forex Education,Signals, For All,, Help others and share this groups link
https://t.me/GlobalTradersForeX
ᴼᴾᴱᴺ ᴿᴱᴬᴸ & ᴰᴱᴹᴼ ᵀᴿᴬᴰᴵᴺᴳ ᴬᶜᶜᴼᵁᴺᵀ ᴮᵞ ᵁˢᴵᴺᴳ ᵀᴴᴵˢ ᴸᴵᴺᴷ https://secure.templerfx.com/login/sign_up/205697
https://t.me/GlobalTradersForeX
ᴼᴾᴱᴺ ᴿᴱᴬᴸ & ᴰᴱᴹᴼ ᵀᴿᴬᴰᴵᴺᴳ ᴬᶜᶜᴼᵁᴺᵀ ᴮᵞ ᵁˢᴵᴺᴳ ᵀᴴᴵˢ ᴸᴵᴺᴷ https://secure.templerfx.com/login/sign_up/205697
Unaweza ukafungua real & demo account trading forex kujisajili bonyeza link hii https://secure.templerfx.com/login/sign_up/205697
2. AINA YA WAFANYABIASHARA KATIKA FOREX.
Hii ni eneo muhimu sana kulijua na wewe kufanya maamuzi unataka uwe mfanyabiashara wa aina gani. Hivyo kabla hujaanza ni bora kujitathmini wewe ni mfanyabiashara wa aina gani na utumie njia zipi katika kufanya biashara yako.

1. SCALPER
Huyu ni mfanyabiashara anaekuwa katika soko kwa mda mfupi sana. Mara nyingi anaingia na kutoka katika trade na dakika kadhaa tu. Kivutia kikubwa kwa trader wa aina hii huona faida au hasara ndani ya mda mfupi tu. Msingi mkubwa wa scalper ni kuwa na uwezo wa kufikiri haraka na kuweza kumantain pressure. Kulingana na mda mfupi wa fursa scalper huamua aingie katika hio fursa au aache.
2. DAY TRADER
Huyu ni trader ni yule ambae huingia katika trade siku husika na kutoka katika trade siku hio hio.Tofauti na scalper, yeye huingia katika trade na kuisubiri ndani ya dakika 30 au saa. Uzuri wa kuwa day trader ni mda wa kutosha wa kufanya zako analysis. mara nyingi huwa na mda maalum wa kuingia katika trades zake. Na mda ukifika wanasubiri fursa ijitengeneze na kuingiza trades zao, hutumia dakika 30, saa moja mpaka saa 4 timeframe kufanya analysis zao.

3. SWING TRADER
hawa ni traders wanaofanya biashara kila siku.... kwa kua kila siku kunakuwa na nafasi za mtiririko/swings katika soko. ukitokea mtririko wa kupanda wanapanda nao.. ukitokea wa kushuka wanashuka nao. Hawa wanafocus sana katika kuangalia mtiririko wenye asili ya uimara zaidi. na mara nyingi hutokea katika kufunguliwa kwa soko la london (London open) na New York open.Hawa wanafanana sana na day trader huwa wanaingia na kutoka katika soko ndani ya siku husika

4. POSITION TRADER
Hawa huingia katika trade kwa siku kadhaa au week. Hii ni aina nzuri kwa wale ambao hawana mda wa kuangalia chart kila siku.
Hawa pia tunaambiwa ni traders ambao wanachukua profit sana ukizingatia wanakua kwenye market kwa mda mrefu hivo kuchukua faida ya week au mwezi. Hivyo aina hii ni kwa wale wenye mitaji mikubwa