Global Traders ForeX (GTFX )💵
80 subscribers
130 photos
13 videos
6 files
67 links
Free forex Education,Signals, For All,, Help others and share this groups link
https://t.me/GlobalTradersForeX
ᴼᴾᴱᴺ ᴿᴱᴬᴸ & ᴰᴱᴹᴼ ᵀᴿᴬᴰᴵᴺᴳ ᴬᶜᶜᴼᵁᴺᵀ ᴮᵞ ᵁˢᴵᴺᴳ ᵀᴴᴵˢ ᴸᴵᴺᴷ https://secure.templerfx.com/login/sign_up/205697
Download Telegram
Unaweza ukafungua real & demo account trading forex hapa bonyeza link hii https://secure.templerfx.com/login/sign_up/205697
Niulize chochote kuhusu forex
hapa 👇👇💵💸👍


https://t.me/GlobalTradersForexGTFX
Je, hii biashara ina muhimu wowote kwako? Jibu linategemea wewe unahitaji nini
1. Kama unataka soko ambalo halilali.
2. Kama unataka fursa ya kufanya biashara mda wowote katika siku.
3. Kama unataka kutengeneza kiasi kikubwa cha pesa.
Basi nadhani FOREX ni mahala sahihi kwa hayo yote
NB: Kama utaweza tengeneza kiasi kikubwa cha pesa ndani ya mda mfupi, pia unaweza kupoteza kiwango cha fedha ndani ya mda mfupi huohuo

Watu gani wanaokuwepo/wanaoshiriki katika hii biashara?
1. Benki kuu (Central banks)
2. Serikali (Government)
3. Umoja wa wawekezaji(investment coorperation)
4. Wafanyabiashara wa duniani kote(businessies worldwide)
5 Wafanyabiashara wadogo(Retail trader)

Maeneo vitovu katika hii biashara duniani ni:
1. NEW YORK (United States Dollar USD)
2. LONDON (Euro EUR and Pound GBP)
3. FRANKFURT (France franc CHF)
4. TOKYO (Japanese YEN JPY)
5. SYDNEY(Austarlian dollar AUD)
Soko la FOREX hufunguliwa jumapili saa 6 usiku na kufungwa Ijumaa saa 5:59 usiku hivo ndani ya huu mda una uwezo wa kufanya biashara

FAIDA ZA FOREX
1. Una uwezo wa kufanaya biashara sehemu yeyote ulipo
2. Unaweza kutoa faida hela zako mda wowote ndani ya siku za wiki.
3. Sheria rahisi.
4. Inapatikana masaa 24
5. Uwiano mzuri kwa kiasi kidogo unaweza ingiza faida kubwa. (Leverage)
6. Upatikanaji wa FAIDA kubwa na kwa haraka.
Niulize chochote kuhusu forex
hapa 👇👇💵💸👍


https://t.me/GlobalTradersForexGTFX
Free forex Education For All,, Help others and share this groups link

https://t.me/joinchat/AAAAAEiuMVUk7XGIlC5A2g


Free learning, no fees, no scans
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥💥💥💸💵💵profit today Niulize chochote kuhusu forex
hapa 👇👇💵💸👍


https://t.me/GlobalTradersForexGTFX
o~Lot = 1,000 USD

Nenda kinyumenyume, utaona kwamba:

1lot = 10 mini~lots = 100 micro~lots

Au kwa namna nyingine;

1Micro~lot = 0.1 Mini~lot = 0.01lot.

Sasa, unapokwenda KUPLACE ORDER ya kuBUY au kuSELL kuna sehemu utaulizwa ujaze SIZE ya ORDER yako. Utajaza 1Lot kwa maana ya unanunua au kuuza 100,000USD au utajaza 0.1lot kwa maana ya unauza au kununua 10,000USD au utajaza 0.01lots kwa maana ya unauza au kununua 1,000 USD.

Sasa twende kwenye thamani ya PIP.

Endapo ULIUZA au KUNUNUA "1 Standard Lot", kila PIP moja unayoipata sokoni kama faida, ni sawasawa na 10 USD. Maana yake, kwa 100,000 USD ulizoTRADE, umepata faida ya 1PIP au 10 USD.
Kama uliTRADE 1minilot, 1PIP ni sawa na 1 USD na kama uliTRADE 1 microlot, PIP moja ni sawa na 0.1 USD.

Umenielewa mpaka hapo? Ngoja nikusisitize yafuatayo kama NB.

Note1: Si kila Currency Pair PIP yake inapimwa kwa 4decimal places. Kuna baadhi sio, mfano Currency Pairs ambazo zina Japaneese Yen ndani yake kama EUR/JPY au USD/JPY na zingine, PIP yake moja inahesabiwa katika sehemu MBILI za Desimali. Ukishakuwa sokoni utazizoea tu usiogope. Utazijua zote.

Note 2: Sio kila 1PIP ni sawa na 10USD kwa 1lot. Kuna tofauti zake pia. Baadhi ya currency pairs, 1lot zao, 1PIP utakuta ni 8USD, 11USD au hata 7USD. Inategemea. Ile ya 1Pip = 10 USD ni Standard. Utazielewa pia ukishaingia sokoni. Ila mpaka hapa, unaweza kuelewa kwamba, aliyepata 25pips za 1lot za:
i) EUR/USD,
ii) EUR/JPY, na
iii) GBP/USD
wanatofautiana kwenye hela kwa sababu thamani ua 1PIP kwao zinatofautiana. Ila tofauti zao si kubwa saaana. Zoote, zinakaribi pale pale kwenye Kwa 1std lot, 1Pip = 10 USD.

6. Hivi Kweli, kuna Retail Trader ataweza kununua 1lot, au 1minilot, au hata 1microlot (kiasi cha chini kabisa cha order moja ambacho ni 1000usd = 2.4mil Tzs) na akasavaivu kwenye hii biashara kweli. Huko si ni kubaguana? Wataifanya wenye nacho tu, si ndiyo?

Hapo sasa, ashukuriwe Mungu kuna Mtukati anaitwa Broker. Ndiye anayetuwezesha mimi na wewe tushiriki Forex. Vingenevyo, ingebaki kuwa ni biashara ya Mabenki, Serikali, Taasisi kubwa kubwa za Kifedha ma Matycoon wakubwa.

Kazi kubwa ya Broker ni kukukopesha hela zake ili uzifanyie biashara ya Forex. Atakuambia kwamfano; ukifungua account ya mtandaoni kwangu, uka~deposite hela, kwa kila Dola 1 utakayo~deposite, nitakukopesha Dola 100 au, 200, au 500 au wengine mpaka 1000! Hicho kitendo kinaitwa "Leverage". Wanaandika hivi:

Leverage:
1:50 (kwa kila dola 1 uyakayoweka kwangu, nakukopeaha 50), au
1:100 (weka 1, kopa 100), au
1:500 (weka 1 kopa 500) n.k, n.k

Kwamfano sasa, ukiweka USD 100 kwenye account yenye Leverage ya 1:500 maana yake ni nini?

Kwa kila dola 1 uliyo~deposite anakukopesha dola 500. Kwa hiyo, jumla utakuwa na dola 100 x 500 = 50,000. Hiyo inaitwa "Purchasing Power". Hapo maana yake ni kwamba unauwezo sasa wa kununua au kuuza USD 50,000 ambayo ni sawa na 0.5 lot size, tofauti na awali ambapo ungetegemea 100$, usingeweza kuuza au kununua chochote (hata order ndooogo kabisa ambayo ni Micro~Lot = 1000usd).

Brokers wanakuchaji wewe comission wakati wowote unapoTRADE, ndipo kipato chao kilipo. Siku nyingine nitawazungumzia kwa undani kidogo hawa maBroker. Kwa leo niishie tu hapo..




Niulize chochote kuhusu forex
hapa 👇👇💵💸👍


https://t.me/GlobalTradersForexGTFX
GBPNZD SELL Now 1.9370
💰TP: 1.9200
SL: 1.9470

‼️use small lot - ‼️
JINSI YA KUTUMIA MT4 KATIKA SIMU AINA YA ANDROID.

Hii ni platform tunayoitumia kutrade forex

Ingia katika playstore kwenye simu yako na andika META TRADER 4

👇🏼👇🏼👇🏼👇🏼
Baada ya kuiona app hio click INSTALL na fuata maelekezo ya jinsi ya ku INSTALL


Unapoingia katika app kwa mara ya kwanza screen itakuonesha namna ya kusajili akaunti mpya.
👇🏼👇🏼👇🏼
Kama ndo mara ya kwanza kutrade forex click start without registration

Utapewa account ya demo automatically na kuendelea kuitumia kwa mazoezi na kupata ujuzi zaidi



https://t.me/GlobalTradersForexGTFX
Global Traders ForeX (GTFX )💵
Photo
Baadhi ya faida /some profit after trade forex💸💸💵 boom boom,, From VIP SIGNAL CLUB
Eurusd buy now 1.12938
Sl 1.12738
TP 1.13410
🔥🔥💥
MISAMIATI ILIYOPO FOREX

1. BASE CURRENCY
Hiki ni kiini msingi katika kununua au kuuza katika forex. kama utabuy USD/JPY Hii ni kumaanisha unanunua dola ya kimarekani na wakati huohuo unauza yen ya kijapani.

2. QUOTE CURRENCY
Hii ni ile sarafu ya pili katika pair ya sarafu husika unapofanya trade. Mfano USD/JPY, JPY ndio quote currency.