Global Traders ForeX (GTFX )💵
Photo
Hello everyone- all our trades running good 🙏💵💸
XAUUSD BUY Now 1293.15
💰TP: 1303.50
❌SL: 1287
‼️use small lot - ‼️
💰TP: 1303.50
❌SL: 1287
‼️use small lot - ‼️
EURJPY SELL Now 126.245
💰TP: 125.680
❌SL: 127.000
‼️use small lot - ‼️
💰TP: 125.680
❌SL: 127.000
‼️use small lot - ‼️
Chart with me here https://t.me/GlobalTradersForexGTFX
Telegram
GTFX
Ask me anything here :
https://t.me/GlobalTradersForexGTFX
https://t.me/GlobalTradersForexGTFX
Telegram
GTFX
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Kwa kiswahili forex jifunze
EURJPY SELL Now 126.700
💰TP: 126.135
❌SL: 127.000
‼️use small lot - ‼️
💰TP: 126.135
❌SL: 127.000
‼️use small lot - ‼️
FOREX NI BIASHARA YA UBADILISHAJI WA FEDHA ZA KIGENI AMBAYO IMEONEKANA KUWA NA MZUNGUKO MKUBWA ZAIDI KULIKO BIASHARA YOYOTE DUNIANINI KWANI INAZUNGUSHA ZAIDI YA DOLLA ZA KIMAREKANI TRILLION 5 KWA SIKU.
HII NI BIASHARA AMBAYO IMECHANGIWA SANA NA MAPINDUZI YA TEKNOLOJIA AMBAPO SASA MTU YEYOTE UNAWEZA UKAFANYA BIASHARA HII SEHEMU YOYOTE YENYE MTANDAO WA INTANETI KAMA KOMPYUTA NA SIMU(smartphone).
MAFANIKIO SIO AJALI BALI NI MATOKEO YA MAAMUZI NA MACHAGUZI UNAYOCHAGUA😘😘
Karibu tujifunze Forex kwa lugha ya kiswahili(video n notice) kupitia telegram Chanel hii (FREE)
NIULIZE CHOCHOTE HAPA 👇
Ask me anything here :
https://t.me/GlobalTradersForexGTFX
HII NI BIASHARA AMBAYO IMECHANGIWA SANA NA MAPINDUZI YA TEKNOLOJIA AMBAPO SASA MTU YEYOTE UNAWEZA UKAFANYA BIASHARA HII SEHEMU YOYOTE YENYE MTANDAO WA INTANETI KAMA KOMPYUTA NA SIMU(smartphone).
MAFANIKIO SIO AJALI BALI NI MATOKEO YA MAAMUZI NA MACHAGUZI UNAYOCHAGUA😘😘
Karibu tujifunze Forex kwa lugha ya kiswahili(video n notice) kupitia telegram Chanel hii (FREE)
NIULIZE CHOCHOTE HAPA 👇
Ask me anything here :
https://t.me/GlobalTradersForexGTFX
Telegram
GTFX
Introductory Lesson (Somo la Kiutangulizi) kuhusu Forex kwa malengo matatu hivi:
1. Kuwapa hamasa wale ambao bado hawafanya uamuzi wa kujiunga na Forex,
2. Kuwapa mwanga wale waliojiunga lkn bado hawaielewi biashara hii, na
3. Kurekebisha mawazo ya wale wenye uelewa usio sahihi.
Tuanze,...
Naamini tayari unaelewa kwamba:
1. Forex ni kifupisho cha FOReign EXchange kwa maana ya biashara ya kununua na kuuza fedha za kigeni. Kama unavyoijua kazi ya Bureau de Change, ndiyo iyo hiyo tunaifanya kwenye Forex sema hii ni ya mtandaoni.
2. Forex ni biashara halali na inafanyika ulimwenguni mwote na taasisi kubwa kubwa za kifedha na mabenki na central banks.
3. Biashara hii ni ya mtandaoni na wauzaji na wanunuzi hukutana huko ~soko lake ni la mtandaoni na ni la dunia nzima. Inakadiriwa kuwa, biashara hii imevutia wawekezaji ambao kwa pamoja (wakubwa na wadogo) wanaTRADE zaidi ya US Dollars Trilioni 5.3 kila siku!
4. Hii biashara kwa kuwa ni ya mtandaoni, ukitaka kuifanya ni lazima uwe na fedha mtandaoni. Unafungua account mtandaoni kama unavyofungua bank, unaweka fedha zako. Unazifanyia biashara na siku ukitaka kuzitoa, unazitoa mtandaoni zinakuwa cash za kutumia.
5. Biashara hii, kwa kuwa ni ya mtandaoni, unaweza kuifanyia popote! Nyumbani, chumbani, njiani, sokoni..popote! Unahitaji tu vitu vitatu:
a)Computer/Laptop ambayo itakusaidia kuliangalia soko na kujua muelekeo (Market Analysis)
b) Internet connection. Kwa sababu ni biashara ya mtandaoni, unahitaji kujiung na mtandao.
c) Programu maalum yenye uwezo wa kusoma soko. Hii inaitwa Trading Platform. Hii ni software ambayo, unai~download na kui~install kwenye Computer yako. Hizi ziko nyingi sasa lakn moja maarufu ambayo inatumika sana duniani inaitwa Meter Trader 4 (MT4).
Note 1: Ni lazima uwe na Computer/Laptop na ui~install MT4 kama unafanya Market Analysis mwenyewe lkn, kama kuna mtu mwingine anaweza kufanya kwa niaba yako na akakupa kile tunaita Trading Signal, sio lazima uwe nayo. Unaweza tu ukawa na simu yako au gadget yoyote ile inayoweza kuunganishwa na mtandao. Uzuri, hata MT4 nazo, zumetengenezwa mpaka za simu hivyo, unaweza kui~install ktk simu na ukaendelea kuTRADE.
Note 2: Baada ya kutimiza hayo, kabla hujaanza KUNUNUA NA KUUZA fedha za kigeni mtandaoni, Ku~Trade Fore x, unamuhitaji mtukati anayeitwa Broker. Kwanini? Nitafafanua zaidi pale chini lakini, kwa hapa niseme tu, ndiye anayesimama kama bank ya mtandaoni kwako. Utafungua account kwake kama unavyofungua account NMB, NBC, Equity, Exim, n.k. Utampatia taarifa zako zote rasmi, Vitambulisho vyote muhimu, Uraia, Anuani ya unapoishi,...kila kitu. Ndipo atakuruhusu kufungua account ya mtandaoni. Niwaonye wanaopenda kudanganya, hapa usijaribu, utafeli. Hapa wanahitaji taarifa zako halisi na sahihi. Hii ni kwa sababu, hii ni biashara halali kabisa, na ni ya dunia nzima na, inakupatia kipato halali. Sasa, siku umepata faida unataka kuzitoa pesa zako, watakuambia hatukupi maana si wewe, endapo utawasilisha utambulisho mwingine tofauti na ule uliojazaga. Baada ya kuifungua account kwa Broker, unaweka hela zako humo, labda USD, GBP, JPY..utakavyo mwenyewe. Baada ya hapo, sasa upo tayari kuanza biashara.
Huo ulikuwa Utanguli wa Hatua Muhimu kabla hatujaingia Sokoni. Sasa twende Sokoni. Twende kwa Hatua pia:
1. Forex inafanyika kwa kulinganisha thamani za Sarafu Mbili kwa pamoja (Currency Pairs).
Kule sokoni unapoingia, ili uweze kununu na kuuza, utakuta bidhaa (currency) zimewekwa kwenye mafungu mafungu ya mbili mbili (pairs). Mfano:
i)Euro na US Dollar pamoja,
ii) Paund (GBP) na USD pamoja,
iii) USD na Yen (JPY) pamoja,..nk. nk. nk
Zinavyopangwa, utazikuta hivi:
EUR/USD
USD/JPY
GBP/USD
USD/CAD
.
.
Chukua EUR/USD kwamfano;
Hiyo ya mwanzo (EUR) Inaitwa BASE currency, na hiyo ya pili, USD, unaitwa COUNTER Currency. Sasa, bei unazoziona kwenye grafu zikipanda na kushuka ni bei za Base Currency kwa kulinganishwa na Counter Currency. Chukulia hii;
EUR/USD = 1.25358
Maana yake, Euro 1 = 1.25358 USD. Kama unataka kununua EURO 1, utalipa

1.25358 USD.
Bei za Euro sokoni, kwa kulinganishwa na USD, zinaweza kubadilika ndani ya sekunde! Sasa, faida zinapatikana kwa wewe KUNUNUA Currency moja, wakati bei iko chini na KUIUZA wakati bei inapopanda. As Simple as that. Sasa, ili kujua kwamba baada ya muda itapanda ili UNUNUE sasa hivi na uuze itakapopanda, au, kujua kwamba itashuka zaidi ya hapo ilipo ili, UUZE sasa hivi na UNUNUE itakapofika bei ya chini zaidi,...mchakato huo unaitwa MARKET ANALYSIS.
2. Forex Trading, hufanyika kwa "Kubonyeza tu" kitufye cha kuBUY au cha kuSELL. Basi. Hilo tu. Unakuwa umefanya TRADE. Lakini sasa, ili uweze kujua, unabonyeza kipi, muda gani, uTRADE kiasi gani ili upate faida gani, inabidi uwe unajua kufanya MARKET ANALYSIS mwenyewe au uwe na MTAALAMU unayemuamini akufanyie na akupe taarifa hiyo. Sasa, hiyo taarifa ndiyo inaitwa "Fx Signals" au "Trade Signals"..nk.
3. Faida au hasara kwenye Forex Trade zinapimwa kwa PIPS.
PIP ni kitu Gani? Kitefu chake ni "Percentage In Point". Pip ni tofauti ya POINT MOJA katika bei ya Pair ya Currency tokea ulipoweka ORDER yako. Its a 1point Price Movement ama kwenda juu au kuja chini.
Hii tofauti ya bei (Pip) inapimwa katika viwango vya Desimali. Currency Pairs nyingi (sio zote tafadhali) zinatumia SEHEMU NNE ZA DESIMALI. Utakuta kwenye Platform wanaandika SEHEMU TANO lakini ni ili kukusaidia wewe mfanyabiasha, ila zinazohesabika ni NNE.
Utaelewa vizuri kwenye mfano. Chukulia hiyo ya pale juu:
EUR/USD = 1.25358
Tunaangalia "Price Movement" katika sehemu ya 4 ya desimali. Ile ya tano inakupa tu sehemu ya Pip.
Chukulia hapo bei ibadilike ama kwenda juu au chini kama ifuatavyo:
EUR/USD = 1.25458
⬆
EUR/USD = 1.25358
⬇
EUR/USD = 1.25258
▶ Kutokea 1.25358 kwenda 1.25458 maana yake bei imepanda kwa 10pips.
▶ Kutokea 1.25358 mpaka 1.25258 bei imeshuka kwa 10pips.
Swali, je kutoka 1.25258 mpaka 1.25200?
Jibu, imeshuka kwa 5.8pips. Sawa mpaka hapo?
Kwa hiyo, FAIDA na HASARA katika Forex zinapimwa kwa PIPS. Ukiwakuta watu wanaambiana, mimi leo nimepata, 30 USD, 50 Yen, 70 Paunds...unajua tu hawa sio professionals. Kule watu wanajisifia Pips sio Dola au Paundi au Yen. Utakuta mtaalam anasema, Mimi ninapata Average/Wastani wa 500Pips, au 700Pips au 1100Pips kwa wiki au kwa mwezi, nk. Sio Dola! Na mtaalamu anayependwa na wateja,..Anayeaminiwa kwamba anao uwezo wa Market Analysis mzuri ni yule anayejikusanyia PIPS nyingi mwisho wa siku.
Swali: Je, naweza kupata PIPS kidogo na nikawa na faida KUBWA kuliko aliyepata PIPS nyingi kunizidi?
Jibu: Ndio. Inawezekana! Lakini, wooote, tutakujua kwamba huna PROFFESSIONALISM bali umeRISK sana na ungeweza ukapoteza hela nyingi sana pia! Sema tu bahati yako leo. Hakuna mtu mwenye hela zake atakayekuamini tukikujua hivyo. Nitaeleza zaidi hili sehemu inayofuata.
5. Nini Thamani ya PIP moja? Ili nijibu hili swali, kuna maelezo lazima nikupe. Ila kwa kifupi, thamani ya PIP moja inaweza kuwa ni 10 USD, au 1 USD, au 0.1 USD. Angalia:
Kumbuka, hii ni biashara kubwa sana. Kule kwenye soko la dunia, CURRENCY zinauzwa kwa jumla. Huwezi kwenda kununua eti Dola 1, au Paundi 5 au Euro 8. No. Unanunua kwenye mafungu! Kule kuna mafungu matatu tu maalum yanayouzwa:
a) 100,000 USD, au
b) 10,000 USD, au
c) 1,000 USD
Kwani hata Buteau de Change si wanauza kwa mafungu? Utakuta;
1 - 50 USD bei yake
51- 100USD bei yake
101- 1000USD bei yake
N.k. nk, nk..ndo ivo ivo kule.
Sasa,..
Wale waliosoma Science Sekondary mnikumbushe hii: S.I Unit maana yake nini tena? International Standard Unit? Nimesahau. Ila maana yake ni hii. Kipimo maalum kilichokubalika dunia nzima kupimia kitu mfano;
Urefu, S.I.Unit ni Meter
Ujazo, S.I.Unit ni Litre
Uzito, S.I.Unit ni Gram
N.k, n.k,...
Sasa kwenye Forex, kipimo kilichokubalika kupimia kiwango cha MAFUNGU ya kuuza na kununua Currency kinaitwa "Lot" Tumezoea kuita, "Standard Lot".
➡ Lot moja ukiigawa kwa KUMI utapata 1 Mini~Lot.
➡ Mini~Lot moja ukiigawa kwa KUMI (au Standard Lot moja ukiigawa kwa MIA) unapata 1 Micro~Lot.
Angalia sasa;
1 Std Lot = 100,000 USD,
1 Mini~Lot = 10,000 USD
1 Micr

EURJPY SELL Now 126.700 💰TP: 126.135 ❌SL: 127.000 ‼️use small lot - ‼️
Still running good 💵💸🔥🔥👍
Unaweza ukafungua real & demo account trading forex hapa bonyeza link hii https://secure.templerfx.com/login/sign_up/205697