Global Traders ForeX (GTFX )💵
80 subscribers
130 photos
13 videos
6 files
67 links
Free forex Education,Signals, For All,, Help others and share this groups link
https://t.me/GlobalTradersForeX
ᴼᴾᴱᴺ ᴿᴱᴬᴸ & ᴰᴱᴹᴼ ᵀᴿᴬᴰᴵᴺᴳ ᴬᶜᶜᴼᵁᴺᵀ ᴮᵞ ᵁˢᴵᴺᴳ ᵀᴴᴵˢ ᴸᴵᴺᴷ https://secure.templerfx.com/login/sign_up/205697
Download Telegram
Forwarded from VIP FREE SIGNAL CLUB @GlobalTradersForex GTFX🔥🔥💵💸
XAUUSD SELL Now 1281.10
💰TP: 1274.20
SL: 1287

‼️use small lot - ‼️
Forwarded from VIP FREE SIGNAL CLUB @GlobalTradersForex GTFX🔥🔥💵💸
NZDUSD SELL Now 0.66580
💰TP: 0.66000
SL: 0.66940

‼️use small lot - ‼️
. LONG/BULLISH
Hii ni termonology ambayo unasikia watu wakiiongelea. kama imepatikana opportunity ya kulong/bullish hapa maana yake NUNUA. Bull ni aina za mnyama ambae anakula majani hivo candlestick zake nyingi zinakuwa zikiwakilishwa na rangi ya kijani. Huyu mnyama akitaka kukudhuru huinamisha kichwa chini na anakunyanyua kwa kukuchota kukupeleka juu. Hivyo katika Forex hapa inamaanisha soko linatoka chini linapanda juu.
SHORT/BEARISH
Kama imepatikana opportunity ya kushort/bearish hapa maana yake UZA.. Bear ni aina ya mnyama ambae anakula nyama, hivo candlestick yake huwakilishwa na rangi nyekundu. Huyu mnyama anavyokudhuru huruka juu kisha hukushusha chini. Hii katika forex inamaanisha soko linatoka juu kushuka chini.
Forwarded from VIP FREE SIGNAL CLUB @GlobalTradersForex GTFX🔥🔥💵💸
EURUSD BUY Now 1.11924
💰TP: 1.1315
SL: 1.1130

‼️use small lot - ‼️
Enjoy this pdf book 👍
link nimeambatanisha hapa chini ukiingia utapelekwa moja kwa moja kwenye form ya ku-sign up
https://secure.templerfx.com/login/sign_up/205697



Ambapo utajaza vitu vifuatavyo

a) jina lako
b) email adress yako
c) namba ya simu ambayo ni ya vodacom utaanza na +255 mfano +2557485xxx

Utabonyeza kibox kilichoambatana na maneno I'm not a robot...ukibonyeza kitaload then kitakuletea picha na utapewa maelezo kwa juu mfano select all picture that has bridge au cars au street sign kwa hiyo utabonyeza picha kulingana na maelezo uliyopewa baada ya hapo utabonyeza verify ukifanya hivyo km hukukosea hiko kiboksi kitaweka tick

Then utabonyeza kibox kidoo kinachofuata alafu unamaliza na creat account au (start trading)

Ukimaliza kubonyeza creat akaunt(start trading) kuna email utatumiwa na Templerfx ikiwa na kichwa cha habari MEMBER AREA CREDENTIALS ambapo katika hiyo email utapewa vitu hivi
Login (ambayo ni email yako)
Password(ipo katika format hii forex87 au forex5 nk)

Viandike hivyo vitu pembeni kisha bonyeza ii link 👇🏽 na ujaze email na password ulogin au shuka chini katika hiyohiyo email utakuta sehemu wameandika LOGIN imezungukwa na rangi ya blue bonyeza hapo itaload kisha itakuletea sehemu ujaze login na password hapo utajaza email yako na password utajaza passoword ukiyopewa ambayo ipo katika mfumo wa forex54au forex31 nk

Kwa kufanya hivyo utakuwa umelogin kwenye akaunt yako

Sasa jinsi ya kuverify na kufungua demo au Live account na kupata bonus angalia video hapo chini👇🏽
Kama unahitaji kufungua forex account, kuuliza chochote, VIP Free signal club unahitaji, niulize chochote kuhusu forex hapo chini kwenye hiyo click link 👇👇👇💵💸👍🔥👇👇💥



https://t.me/GlobalTradersForexGTFX
JINSI YA KUPATA NO DEPOSIT BONUS baada ya kuverify na kufungua account