DB Tech Solution.
148 subscribers
3 photos
2 videos
555 files
25 links
How to use Tech to simplify my Work.
Download Telegram
OFFICE 2019 SETUP 64/32BIT
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
ℹ️ MICROSOFT OFFICE

• Office 2016 (Windows 10/8/7):
- Windows 32 Bit
- Windows 64 Bit
- Windows 32/64 Bit
- Apple MacOS

• Office 2019 (only/solo Windows 10):
- Windows 32 Bit
- Windows 64 Bit
- Windows 32/64 Bit
- Apple MacOS
DB Tech Solution. pinned Deleted message
OPRAS ambayo haijajazwa.pdf
58.1 KB
OPRAS ambayo haijajazwa.pdf
TIME TABLE FORM_IV_2022.pdf
424.7 KB
TIME TABLE FORM_IV_2022.pdf
FORM_THREE_BIOS EDITED.docx
282.6 KB
FORM_THREE_BIOS EDITED.docx
ALEVEL SYSTEM DEMO.xlsx
3.8 MB
ALEVEL SYSTEM DEMO.xlsx
ALEVEL RESULTS SAMPLE call 0752073410.pdf
1 MB
ALEVEL RESULTS SAMPLE call 0752073410.pdf
TANGAZO LA NAFASI ZA MUDA ZA MAKARANI NA WASIMAMIZI WA SENSA

Serikali imetangaza ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022.

Akizungumza na Waandishi wa Habari, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) George Simbachawene amesema Watanzania wote wenye sifa wanaruhusiwa kutuma maombi na wafuate vigezo vilivyo ainishwa.

Aidha, amesema katika mchakato huo wa kutuma maombi, hakuna kiasi chochote cha fedha kinacho tozwa na wananchi wawe makini ili kuepuka kutapeliwa.

Maombi haya yanapatikana katika tovuti zifuatazo:-

1. www.tamisemi.go.tz

2. www.nbs.go.tz

3. www.tamisemim.go.tz

4. www.ocgs.go.tz

Maombi yatumwe kuanzia tarehe 5-19 Mei, 2022 kama ilivyo elekezwa kwenye fomu za maombi.

Sensa kwa Maendeleo, Jiandae Kuhesabiwa

👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻
Kufanya maombi ya kazi za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022 bofya link hizi.

1. Kutuma maombi (Kujaza Fomu Na. 1 ya kazi za Sensa )
https://ajira.nbs.go.tz/application/create

2. Kuhuisha/Kukamilisha usajili wa maombi ya kazi
https://ajira.nbs.go.tz/
DB Tech Solution. pinned Deleted message