CnZ Media
24 subscribers
65 photos
576 links
Karibuni kwenye Channel ya CnZ Media, hapa utakuwa unapokea Video Mpya, Simulizi Mpya Iliyotoka, Vichekesho na Mambo Mchanganyiko Kutoka Kwenye Media zetu zote
KARIBU SANA
Download Telegram
Cheka na Zephiline
"Achana na pombe itakuua"
Jibu kama mtu mlevi๐Ÿคฃ๐Ÿ˜‚

#ChekanaZephiline
tweet
Cheka na Zephiline
Eti nasikia ukienda Upareni ukivaa earphones unaitwa dokta
Wapare mnakwama wapi jamani?๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ

#ChekanaZephiline
tweet
Cheka na Zephiline
Mtu Mfupi Akinywa Pombe Anawahi Kulewa Kwa Sababu Ubongo Wake Upo Karibu na Tumbo

#ChekanaZephiline
tweet
CnZ Media
Photo
CnZ Media
SORRY MADAM (89)

โž– @ChekanaZephiline โž–
CnZ Media
Photo
CnZ Media
SORRY MADAM (90)

โž– @ChekanaZephiline โž–
Kama unapenda video za kuchekesha niambie nikupe muongozo
SIMULIZI UPDATE
Asubuhi tembelea https://cnzmedia.blogspot.com mida ya saa 3 hivi utakutana na muendelezo wa SORRY MADAM ambayo ni sehemu ya 92
Nyote mnakaribishwa
CnZ Media pia tunajihusisha na kutengeneza
BLOG
YOUTUBE CHANNEL
FACEBOOK PAGE
FACEBOOK GROUPS
TWITTER PAGE
INSTAGRAM PAGE

Youtube Channel
-Tunakutengenezea utakavyo, iwe ya kisanii au habari na mwisho ije ianze kulipwa
-Hata kupush video ipate watembeleaji wengi kadri utakavyo(hata 1M) inawezekana

Instagram Page
-Tunakuunganishia ukipost picha facebook inatokea na instagram, vile vile ukipost instagram inatokea facebook page au acc ya kawaida

KIFUPI KILA KONA TUNAHUDUMIA
Karibuni Sana
https://cnzmedia.blogspot.com
Unatengenezewa blog kama hii ambayo utakuja kuitegemea baadae, mfano mimi naitegemea inipe watembeleaji ambao watayaona matangazo mwisho wa siku nipate kiasi kidogo
Ukiwa kwenye blog(https://cnzmedia.blogspot.com) yetu ukisoma simulizi, unaweza kuvutiwa na jambo au kutaka kuchangia maoni yako basi hii ndio sehemu maalumu kwa kuweka maoni yako
Ipo chini mwisho wa simulizi unavuka na zile zilizopendekezwa kwako hapo utakuta eneo hili, nipe maoni yako nitafurahi sana kukuona ukinichangia maoni yako
*VICHEKESHO UPDATE*
https://www.facebook.com/ChekanaZephilineOG
Kwa wapenzi wa vichekesho, karibu nimeshapost vichekesho huko twende kucheka na usisahau kulike ukurasa kama haujafanya hivyo ili usipitwe

_CnZUpdate_
#CnZUpdate ndio itakuwa official Hashtag kwenye social network zangu zote hivyo kama ukitaka update unaweza kusearch hiyo hashtag utapata unachotafuta bila kuyumba yumba๐Ÿ‘