CnZ Media
24 subscribers
65 photos
576 links
Karibuni kwenye Channel ya CnZ Media, hapa utakuwa unapokea Video Mpya, Simulizi Mpya Iliyotoka, Vichekesho na Mambo Mchanganyiko Kutoka Kwenye Media zetu zote
KARIBU SANA
Download Telegram
SIMULIZI UPDATE
Wapenzi wa Simulizi samahanini kwa ukimya, nilikuwa busy sana zaidi ya sana ila sasa nimerudi, ile simulizi yetu pendwa ya Sorry Madam imeisha hivyo naandaa hapa simulizi gani tuanze nayo tena
Nakuhakikishia burudani kila siku hivyo usisite kutembelea https://cnzmedia.blogspot.com kila wakati kupata simulizi tamu na nzuri za kusisimua kila siku