BBC Swahili
6.93K subscribers
3.51K photos
3.2K videos
29 files
24.3K links
Shirika la habari la Uingereza, BBC
Channel is an UNOFFICIAL
Download Telegram
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

Termites Take on Giraffes | How Nature Works | BBC Earth
This tree has welcome one special guest that wards off the likes of elephant, deer and giraffes...

Subscribe: http://bit.ly/BBCEarthSub

#Giraffes #HowNatureWorks #BBCEarth

Watch more:
Planet Earth http://bit.ly/PlanetEarthPlaylist
Blue Planet http://bit.ly/BluePlanetPlaylist
Planet Earth II http://bit.ly/PlanetEarthIIPlaylist
Planet Dinosaur https://bit.ly/PlanetDinosaurPlaylist

How Nature Works
Secrets of Our Living Planet showcases the incredible ecosystems that make life on Earth possible. Using intricately shot natural footage, Chris Packham reveals the hidden wonder of the creatures that we share the planet with, and the intricate, clever and bizarre connections between the species, without which life just could not survive. From the rainforests of Brazil, through the fertile plains of Kenya and...
Baada ya kutokea mlipuko katika hospitali ya Al Ahli Arab katika mji wa Gaza na kuua zaidi ya watu 500 siku ya Jumanne jioni, Baadhi ya viongozi wametoa maoni yao ikiwa ni pamoja na kulaani kilichotokea na kutoa wito wa uwajibikaji.
-
Pangusa kushoto kusoma zaidi
-
-
-
#bbcswahili #Israeli #Palestinians #hamas #gaza #vita #mzozo #Netanyahu
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Mamia ya watu wameuawa katika shambulio la hospitali ya Al-Ahli katika mji wa Gaza.
-
Hamas inasema shambulio hilo lilitekelezwa na Israel, lakini jeshi la Israel linasema shambulio limetokana na kombora lililoshindwa lililorushwa na wanamgambo wa kundi la Islamic Jihad.
-
-
-
#bbcswahili #Israeli #Palestinians #hamas #gaza #vita #mzozo #Netanyahu
Watanzania tisa kati ya 350 waliokuwa Israel warejea Tanzania
https://www.youtube.com/watch?v=PwK3chlF3uc
Hofu na huzuni baada ya mlipuko wa hospitali ya Gaza
https://www.youtube.com/watch?v=4vh0F_ekQIM
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

Watanzania tisa kati ya 350 waliokuwa Israel warejea Tanzania
Kundi la watanzania tisa waliokuwa wakiishi nchini Israeli wamerejea nchini kwao hii leo na kupokelewa na ndugu na jamaa katika Uwanja wa Kimataifa wa Julius Nyerere uliopo jijini Dar es Salaam.

Hatua yao ya kurejea nchini inakuja wakati mapambano kati ya Kundi la wanamgambo wa Kipalestina Hamas pamoja na jeshi la Israeli yakiendelea.

Mpaka sasa Ubalozi wa Tanzania nchini Israeli unasema kuwa hauna mawasiliano na raia wawili wa nchi hiyo ambao wanaishi eneo la kusini mwa Israel

✍@lasteck2023

πŸŽ₯@Nicholas Mtenga

#bbcswahili #tanzania #israel
Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw