MALAS COMMUNITY
Malengo ya MALAS ADVENTURES ni;
1. Kuratibu safari za kitalii (shule na vikundi)
2. Kuunganisha na kuinua vipaji kwa vijana katika sekta ya utalii na nje ya utalii na kutumia fursa zilizopo.
3. Kuandika makala na machapisho ya uhifadhi na utalii.
If you have Telegram, you can view and join
MALAS COMMUNITY right away.