JuaKazi
102 subscribers
Hii ni platform ya job-matching inawaleta wasee wa mtaa na wasee wa mabiashara pamoja, wasee wakipata kazi fiti na waajiri wakipata talanta legit. Kama wewe ni freelancer, fundi, ama unataka wasee wa kazi ya mkono au boda, JuaKazi inakurahisishia game!
If you have Telegram, you can view and join
JuaKazi right away.